AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Unamaanisha haiwezekani au siyo🤣Siku nikifanikiwa kuingia ndani ya chupa ya bia ndipo nitaacha pombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha haiwezekani au siyo🤣Siku nikifanikiwa kuingia ndani ya chupa ya bia ndipo nitaacha pombe.
Habari za Janabi, mambo ya matunda na mbogamboga yamewapa umuhim gani kayika jamii hasa kiuchuli🤣Wewe juisi imekufikisha wapi mkuu😂 swala la pombe achana nalo nenda kanisani ukasali misa ya mwaka mpya tu na utowe maokoto kwa mfumo wa Zaka
Soma vizuri historia ya wanadamu, tangu kuumbwa kwa binadamu pombe imekuwa karibu naye na ni shehemu ya maisha ya hapa duniani na ndio maana kila jamii ina pombe yake inayotokana na mazingira yanayolizunguka. Pombe unachangamsha, inaburudisha, inapatanisha, inaunganisha, inarekebisha nk ikitumika kwa kiasi. Ana raha gani mtu aliyekunywa pombe? Maisha ni mafupi mno kila mtu ayafurahie kwa kadri nafsi yake itakavyomtuma, tusipangianeni siku ya kwanza kabisa ya mwaka MPYA!!
na huu ni ukwel mchungu....wengi wenu msiotaka kuusikia
Ila ukweli ni kwamba Kaa mbali na pombe.
-Pombe inayumbisha SANA maisha yako kama Mwanaume
-kwa taarifa yako! Pombe inapunguza sana ufanisi wako kitandani.
-kuna siku Pombe itaharibu ndoa yako.
-kuna siku Pombe itaharibu kazi yako na biashara.
-kuna namna Pombe inaharibu maisha yako ya baadae.
-Na ni ukweli usiopingika...Pombe inakuweka mbali na MUNGU
-pombe ni chanzo cha fikra potovu
N.k
Hebu tafakari....na ujiulize swali hili jepesi tu!!
Imekupatia faida gani POMBE tangu ulivyo anza kuinywa mpaka mwisho wa mwaka 2023!!!!
NI mara ngapi POMBE imekutoa machozi!!??
Ni mara ngapi....pombe imekugombanisha na watu???
Iko wapi HESHIMA YAKO???
Kuna watu humu pombe imewaingiza kwenye matatzo makubwa SANA!!
So guys kama inawezekana ... Achana kabisa na POMBE
Sijasema achana na Baby wako ....nmesema Achana na POMBE
Kwani ugumu uko wapi???????
Unashindwa nini kuacha POMBE??????
Ni kitu gani hasa ..kina kufanya ushindwe kuacha POMBE??
Unajisikiaje....unapo nyooshewa vidole kila kona upitapo???
Utakuwa mtumwa wa...hivi vinywaji mpaka lini???
Wakati mwingine unaamka kichwa kizito!!!!! Kinauma!!!! Wakati mwingine Umeumia!!!!! Lakini bado umo!!!
Ukiacha pombe utapungukiwa nn???
Ni ushamba tu!!! Kama ushamba mwingine.....!!
Eti kuweka heshima baa?[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji23][emoji23][emoji23] Jinga kabisaaa
Nan alikwambia HESHIMA inawekwa Baa???
Huna wazazi wewe?? Huna watoto????
Haya...niwaone KWENYE comments walevi wote...na mkiri
Kwamba...mmeacha POMBE!! Karibun walevi
simple!!
Unamaanisha haiwezekani au siyo🤣
Kodi za soda haziwezi kukutengenezea barabara! Acha gambe litembeeni siku ya kwanza kabisa ya mwaka MPYA!!
na huu ni ukwel mchungu....wengi wenu msiotaka kuusikia
Ila ukweli ni kwamba Kaa mbali na pombe.
-Pombe inayumbisha SANA maisha yako kama Mwanaume
-kwa taarifa yako! Pombe inapunguza sana ufanisi wako kitandani.
-kuna siku Pombe itaharibu ndoa yako.
-kuna siku Pombe itaharibu kazi yako na biashara.
-kuna namna Pombe inaharibu maisha yako ya baadae.
-Na ni ukweli usiopingika...Pombe inakuweka mbali na MUNGU
-pombe ni chanzo cha fikra potovu
N.k
Hebu tafakari....na ujiulize swali hili jepesi tu!!
Imekupatia faida gani POMBE tangu ulivyo anza kuinywa mpaka mwisho wa mwaka 2023!!!!
NI mara ngapi POMBE imekutoa machozi!!??
Ni mara ngapi....pombe imekugombanisha na watu???
Iko wapi HESHIMA YAKO???
Kuna watu humu pombe imewaingiza kwenye matatzo makubwa SANA!!
So guys kama inawezekana ... Achana kabisa na POMBE
Sijasema achana na Baby wako ....nmesema Achana na POMBE
Kwani ugumu uko wapi???????
Unashindwa nini kuacha POMBE??????
Ni kitu gani hasa ..kina kufanya ushindwe kuacha POMBE??
Unajisikiaje....unapo nyooshewa vidole kila kona upitapo???
Utakuwa mtumwa wa...hivi vinywaji mpaka lini???
Wakati mwingine unaamka kichwa kizito!!!!! Kinauma!!!! Wakati mwingine Umeumia!!!!! Lakini bado umo!!!
Ukiacha pombe utapungukiwa nn???
Eti POMBE ndo mwenza wako kweli??? Ama utosi bado unacheza!!
Ni ushamba tu!!! Kama ushamba mwingine.....!!
Eti kuweka heshima baa?[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji23][emoji23][emoji23] Jinga kabisaaa
Nan alikwambia HESHIMA inawekwa Baa???
Huna wazazi wewe?? Huna watoto????
Haya...niwaone KWENYE comments walevi wote...na mkiri
Kwamba...mmeacha POMBE!! Karibun walevi
simple!!
ni siku ya kwanza kabisa ya mwaka MPYA!!

Usicholkijua pita kwenye uraibu wa pombe ndio uje utoe ushauri, lkn kama hujui kabisa na unaona tuu, no no ingia ucheze kwanza ukitoka toa nasaha, andika kitabu nakadhalika.ni siku ya kwanza kabisa ya mwaka MPYA!!
na huu ni ukwel mchungu....wengi wenu msiotaka kuusikia
Ila ukweli ni kwamba Kaa mbali na pombe.
-Pombe inayumbisha SANA maisha yako kama Mwanaume
-kwa taarifa yako! Pombe inapunguza sana ufanisi wako kitandani.
-kuna siku Pombe itaharibu ndoa yako.
-kuna siku Pombe itaharibu kazi yako na biashara.
-kuna namna Pombe inaharibu maisha yako ya baadae.
-Na ni ukweli usiopingika...Pombe inakuweka mbali na MUNGU
-pombe ni chanzo cha fikra potovu
N.k
Hebu tafakari....na ujiulize swali hili jepesi tu!!
Imekupatia faida gani POMBE tangu ulivyo anza kuinywa mpaka mwisho wa mwaka 2023!!!!
NI mara ngapi POMBE imekutoa machozi!!??
Ni mara ngapi....pombe imekugombanisha na watu???
Iko wapi HESHIMA YAKO???
Kuna watu humu pombe imewaingiza kwenye matatzo makubwa SANA!!
So guys kama inawezekana ... Achana kabisa na POMBE
Sijasema achana na Baby wako ....nmesema Achana na POMBE
Kwani ugumu uko wapi???????
Unashindwa nini kuacha POMBE??????
Ni kitu gani hasa ..kina kufanya ushindwe kuacha POMBE??
Unajisikiaje....unapo nyooshewa vidole kila kona upitapo???
Utakuwa mtumwa wa...hivi vinywaji mpaka lini???
Wakati mwingine unaamka kichwa kizito!!!!! Kinauma!!!! Wakati mwingine Umeumia!!!!! Lakini bado umo!!!
Ukiacha pombe utapungukiwa nn???
Eti POMBE ndo mwenza wako kweli??? Ama utosi bado unacheza!!
Ni ushamba tu!!! Kama ushamba mwingine.....!!
Eti kuweka heshima baa?[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji23][emoji23][emoji23] Jinga kabisaaa
Nan alikwambia HESHIMA inawekwa Baa???
Huna wazazi wewe?? Huna watoto????
Haya...niwaone KWENYE comments walevi wote...na mkiri
Kwamba...mmeacha POMBE!! Karibun walevi
simple!!
Wewe unahamia kwenye umalaya na ombea usipate goma lenye umeme.January inapita kavu hii.
Yani tangu kunywa Champagne ya kukaribisha 2024 mkesha wa mwaka mpya sijagusa vyombo tena mpaka sasa naona January inaenda kuisha hii.
Na mwendo ni huu huu mwaka mzima.
Bia, wine, zipo kwenye friji naziangalia tu. Scotch, Vodka, Gin zipo naziangalia tu mwaka huu nimezigomea.
Wabongo kama wewe ni kawaida yenu hata msipopewa picha mnajazia tu mnayotaka. Hivyo siwezi kukushangaa.Wewe unahamia kwenye umalaya na ombea usipate goma lenye umeme.
Ukihamia huko una hati hati kula wake za watu, utaulkufaga zee
Katika watu wanaopigwa vita sana basi ni wanywaji.ni siku ya kwanza kabisa ya mwaka MPYA!!
na huu ni ukwel mchungu....wengi wenu msiotaka kuusikia
Ila ukweli ni kwamba Kaa mbali na pombe.
-Pombe inayumbisha SANA maisha yako kama Mwanaume
-kwa taarifa yako! Pombe inapunguza sana ufanisi wako kitandani.
-kuna siku Pombe itaharibu ndoa yako.
-kuna siku Pombe itaharibu kazi yako na biashara.
-kuna namna Pombe inaharibu maisha yako ya baadae.
-Na ni ukweli usiopingika...Pombe inakuweka mbali na MUNGU
-pombe ni chanzo cha fikra potovu
N.k
Hebu tafakari....na ujiulize swali hili jepesi tu!!
Imekupatia faida gani POMBE tangu ulivyo anza kuinywa mpaka mwisho wa mwaka 2023!!!!
NI mara ngapi POMBE imekutoa machozi!!??
Ni mara ngapi....pombe imekugombanisha na watu???
Iko wapi HESHIMA YAKO???
Kuna watu humu pombe imewaingiza kwenye matatzo makubwa SANA!!
So guys kama inawezekana ... Achana kabisa na POMBE
Sijasema achana na Baby wako ....nmesema Achana na POMBE
Kwani ugumu uko wapi???????
Unashindwa nini kuacha POMBE??????
Ni kitu gani hasa ..kina kufanya ushindwe kuacha POMBE??
Unajisikiaje....unapo nyooshewa vidole kila kona upitapo???
Utakuwa mtumwa wa...hivi vinywaji mpaka lini???
Wakati mwingine unaamka kichwa kizito!!!!! Kinauma!!!! Wakati mwingine Umeumia!!!!! Lakini bado umo!!!
Ukiacha pombe utapungukiwa nn???
Eti POMBE ndo mwenza wako kweli??? Ama utosi bado unacheza!!
Ni ushamba tu!!! Kama ushamba mwingine.....!!
Eti kuweka heshima baa?[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji23][emoji23][emoji23] Jinga kabisaaa
Nan alikwambia HESHIMA inawekwa Baa???
Huna wazazi wewe?? Huna watoto????
Haya...niwaone KWENYE comments walevi wote...na mkiri
Kwamba...mmeacha POMBE!! Karibun walevi
simple!!
Aisee.Ila pombe basi asee , nina mtu wangu wa karibu pombe zina mhangaisha saana. Anaweza atulie wiki tuu asinywe siku inyofuata anakunywa hadi anajikojolea na anasahau hadi nyumbani. Mungu amsaidie aweze kuacha maana ni tatizo.