2024 ikiwezekana acha pombe kabisa

Wewe juisi imekufikisha wapi mkuu😂 swala la pombe achana nalo nenda kanisani ukasali misa ya mwaka mpya tu na utowe maokoto kwa mfumo wa Zaka
Habari za Janabi, mambo ya matunda na mbogamboga yamewapa umuhim gani kayika jamii hasa kiuchuli🤣
 
Sasa pombe wanywe wengine tabu upate wewe, hizi habari kawahubirie wanao!
 
Soma vizuri historia ya wanadamu, tangu kuumbwa kwa binadamu pombe imekuwa karibu naye na ni shehemu ya maisha ya hapa duniani na ndio maana kila jamii ina pombe yake inayotokana na mazingira yanayolizunguka. Pombe unachangamsha, inaburudisha, inapatanisha, inaunganisha, inarekebisha nk ikitumika kwa kiasi. Ana raha gani mtu aliyekunywa pombe? Maisha ni mafupi mno kila mtu ayafurahie kwa kadri nafsi yake itakavyomtuma, tusipangiane
 
Huitakii nchi mema

Unataka mapato ya serikali yashuke alaaas

Wewe ni muhujumu uchumi 😂😂😂
 
Sawa,mwaka mpya na mambo mapya,ushauri mzuri...
 
Kodi za soda haziwezi kukutengenezea barabara! Acha gambe litembee
 
Hivi pombe na mbususu kipi kibaya?
 
Usicholkijua pita kwenye uraibu wa pombe ndio uje utoe ushauri, lkn kama hujui kabisa na unaona tuu, no no ingia ucheze kwanza ukitoka toa nasaha, andika kitabu nakadhalika.
 
Wkt huu wa red eyes, nikipiga zangu gambe macho kama yai. Naumwa macho mie kumbe pombeka.


Niliwahi kumpa mimba beki3
 
January inapita kavu hii.

Yani tangu kunywa Champagne ya kukaribisha 2024 mkesha wa mwaka mpya sijagusa vyombo tena mpaka sasa naona January inaenda kuisha hii.

Na mwendo ni huu huu mwaka mzima.

Bia, wine, zipo kwenye friji naziangalia tu. Scotch, Vodka, Gin zipo naziangalia tu mwaka huu nimezigomea.
 
Wewe unahamia kwenye umalaya na ombea usipate goma lenye umeme.

Ukihamia huko una hati hati kula wake za watu, utaulkufaga zee
 
Wewe unahamia kwenye umalaya na ombea usipate goma lenye umeme.

Ukihamia huko una hati hati kula wake za watu, utaulkufaga zee
Wabongo kama wewe ni kawaida yenu hata msipopewa picha mnajazia tu mnayotaka. Hivyo siwezi kukushangaa.

Nimekukosea nini katika maisha haya?

Kwa nini hampendi kusikia habari nzuri za mtu? Kwa nini mnaumwa sana kijiba cha moyo mkisikia mtu kajipangia malengo yake na anayatimiza?

Mtu humjui ushaanza kumuwangia habari za umalaya?

Yani sehemu ambayo wenzetu wanakusindikiza na "I wish you every success in your sobriety journey" sisi tunabwengana na "Wewe utaishia kwenye umalaya tu"?.

Halafu bado tutatafuta mchawi wetu kwa nini hatuendelei?

With friends like these, who needs friends?
 
Ila pombe basi asee , nina mtu wangu wa karibu pombe zina mhangaisha saana. Anaweza atulie wiki tuu asinywe siku inyofuata anakunywa hadi anajikojolea na anasahau hadi nyumbani. Mungu amsaidie aweze kuacha maana ni tatizo.
 
Katika watu wanaopigwa vita sana basi ni wanywaji.
 
Ila pombe basi asee , nina mtu wangu wa karibu pombe zina mhangaisha saana. Anaweza atulie wiki tuu asinywe siku inyofuata anakunywa hadi anajikojolea na anasahau hadi nyumbani. Mungu amsaidie aweze kuacha maana ni tatizo.
Aisee.

Inaonesha anaibiwa sana pesa akilewa.

Asipoangalia huyo atapoteza marinda akinusurika sana basi atavunjiwa yai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…