ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kupanga ni kuchagua ila hapa Tanzania Sina hakika kama.tunajua kuchagua mipango ya kipo kianze au kipi kifuate.
China imeripoti kwamba mwaka 2024 imewatoa Wachina zaidi ya Milioni 33 kutoka kwenye ufukara Kwa kutumia sekta ya Kilimo baada ya serikali Yao kuwekeza huko Kwa Nguvu zote.
Hao watu walioondolewa kwenye umaskini wengi wao walikuwa na kazi za vibarua ama mashambani au mjini kwenye viwanda nk.
Tukiacha China ,hivyo hivyo ndivyo Nchi nyingi za Asia zinafanya mfano Vietnam.
View: https://www.instagram.com/p/DDBAVvZpJZm/?igsh=MWllM2ZoNXJhbGdqag==
Hapa Tanzania Huwa tunakurupuka tuu na miradi ya Kisiasa ya kupigia picha na bahati mbaya mafukara nao Kwa kuwa hawajieleqi kwamba ufukara wao umehatibu Hadi akili wanashangilia mambo ya Wanasiasa wavivu wa kufikiria Kwa kufanya miradi cheap na isiyo ya msingi.
Kiongozi yeyote anaejitambua lazima atafahamu idadi ya maskini na mafukara kwenye Nchi yake na hivyo atatekeleza miradi Ile ambayo itaondoa au kupunguza ufukara na sio kama inavyofanyika hapa Tanzania.
Tanzania yetu hii Kuna juhudi zinafanya lakini ni kidogo sana na haziwezi kuondoa umaskini hasa wa kipato.Ndio maana Umeme uko Kila Kijiji ila unakuta kaya zilizounganisha hazifiki hata 20.
View: https://x.com/ChenMingjian_CN/status/1881711347450180073?t=a1jDQDpke3_H8USZQ-NRUA&s=19
My Take
Nchi iache miradi ya maonesho na kupigia picha Bali wafanye miradi ya kusaidia watu kuondokana na umaskini mfano Kilimo,uvuvi,ufugaji, biashara,Utalii na viwanda Vidogo.
Vietnam Ina Uchumi mara 5 ya Tanzania yaani $420bln vs $80bln respectively lakini wanaanza mradi wa Ujenzi wa Sgr 2027.Hawana mda wa kuzika hela kama tunavyofanya Kwa miradi ya kupigia picha.Pia soma Kwa miaka 8 tumetumia Trilioni 27 kwenye SGR na ATCL tu. Hii nchi umaskini tunajitakia wenyewe kuwa na vipaumbele vya ovyo
Kama tunaendelea na utaratibu huu basi idadi ya maskini itazidi kuongezeka maana tuko top 5 ya Nchi Zenye maskini wengi Africa.
View: https://x.com/ChenMingjian_CN/status/1879152795099742531?t=gYrRQUM4cTqzwG3yPxVhSQ&s=19
View: https://x.com/ChenMingjian_CN/status/1879891363426144686?t=zwPnTaHnoJPxoJIS_pNGjg&s=19