Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Uko sahihi kabisa, miradi haina direct impact kumgusa mwananchi wa chini. Lakin kuna class fulani inawanufaisha. So tunatokaje hapa?Nia njema kwenye mradi ambao hauna impacts Kwa majority poors?
80% ya Barabara ni mavumbi na huko kwenye mavumbi ndio majority wanaishi na zingine hazifikiki.
Hizo Sgr Zina msaidia nani? Si unaona wanatoa data za watu waliosafiri na Mapato ila hawatoi running cost ,unajua Kwa nini wanaoficha upande wa pili?
Toka tumepata uhuru adui zetu ni wale wale hatujapunguza hata mmoja ila huenda wameongezeka. Kuna wapiga deal kubwa kubwa.Ujinga umaskini maradhi we still have a long way to go
Ujinga ndio tatizo kubwa yanafuata mengine ukihoji unatulizwaToka tumepata uhuru adui zetu ni wale wale hatujapunguza hata mmoja ila huenda wameongezeka. Kuna wapiga deal kubwa kubwa.
Na ujinga ni mtaji wa wanasiasa. Bila ujinga wanasiasa wangekuwa wanawajibishwa ila kwa sababu ya ujinga wanaowaongoza hawaoni kama wanakosewa wala kuibiwa.Ujinga ndio tatizo kubwa yanafuata mengine ukihoji unatulizwa
Chama Cha MazezetaKupanga ni kuchagua ila hapa Tanzania Sina hakika kama.tunajua kuchagua mipango ya kipo kianze au kipi kifuate.
China imeripoti kwamba mwaka 2024 imewatoa Wachina zaidi ya Milioni 33 kutoka kwenye ufukara Kwa kutumia sekta ya Kilimo baada ya serikali Yao kuwekeza huko Kwa Nguvu zote.
Hao watu walioondolewa kwenye umaskini wengi wao walikuwa na kazi za vibarua ama mashambani au mjini kwenye viwanda nk.
Tukiacha China ,hivyo hivyo ndivyo Nchi nyingi za Asia zinafanya.
Hapa Tanzania Huwa tunakurupuka tuu na miradi ya Kisiasa ya kupigia picha na bahati mbaya mafukara nao Kwa kuwa hawajieleqi kwamba ufukara wao umehatibu Hadi akili wanashangilia mambo ya Wanasiasa wavivu wa kufikiria Kwa kufanya miradi cheap na isiyo ya msingi.
Kiongozi yeyote anaejitambua lazima atafahamu idadi ya maskini na mafukara kwenye Nchi yake na hivyo atatekeleza miradi Ile ambayo itaondoa au kupunguza ufukara na sio kama inavyofanyika hapa Tanzania.
Tanzania yetu hii Kuna juhudi zinafanya lakini ni kidogo sana na haziwezi kuondoa umaskini hasa wa kipato.Ndio maana Umeme uko Kila Kijiji ila unakuta kaya zilizounganisha hazifiki hata 20.
View: https://x.com/ChenMingjian_CN/status/1881711347450180073?t=a1jDQDpke3_H8USZQ-NRUA&s=19
My Take
Nchi iache miradi ya maonesho na kupigia picha Bali wafanye miradi ya kusaidia watu kuondokana na umaskini mfano Kilimo,uvuvi,ufugaji, biashara,Utalii na viwanda Vidogo.
Vietnam Ina Uchumi mara 5 ya Tanzania yaani $420bln vs $80bln respectively lakini wanaanza mradi wa Ujenzi wa Sgr 2027.Hawana mda wa kuzika hela kama tunavyofanya Kwa miradi ya kupigia picha.
Kama tunaendelea na utaratibu huu basi idadi ya maskini itazidi kuongezeka maana tuko top 5 ya Nchi Zenye maskini wengi Africa.
View: https://x.com/ChenMingjian_CN/status/1879152795099742531?t=gYrRQUM4cTqzwG3yPxVhSQ&s=19
View: https://x.com/ChenMingjian_CN/status/1879891363426144686?t=zwPnTaHnoJPxoJIS_pNGjg&s=19
Mkuu tatizo tumenasa kwenye mfumo wa umaskini unaotukuza vitu na watu waliolimbikiza vitu. Wenye limbikizo la vitu wanaonekana ni wa maana sana kwenye jamii. Wengi wanatumia njia haramu kujilimbikizia vitu ili waonekane tofauti mbele ya jamii.Toka tumepata uhuru adui zetu ni wale wale hatujapunguza hata mmoja ila huenda wameongezeka. Kuna wapiga deal kubwa kubwa.
Umewahi kulima halafu wakati wa mavuno mipaka ikafungwa?Wewe usiwe unakurupuka na kuandika uozo. Unajua network ya railway zilizojengwa China? Hao millioni 30 wangesafirisha mazao yapi kivipi? Halafu uelewe kama ni infrastructure investment ni serikali ndiyo inahusika zaidi kujenga. Wakulima walihimizwa kulima na kupewa subsidies, serikali ya Tanzania lazima iwe inawahimiza wakulima wake kulima na wawape subsidies. China ardhi inakodishwa kwa wakulima, Tanzania ardhi bure karibu sehemu nyingi. Uvivu na ukosekanaji wa ubunifu kwa serikali na wakulima ndiyo unaleta umasikini.
SGR investment na uhmizwaji kwa wakulima kufanya kazi vinaenda simultaneously.
Wanaotakiwa kupanga vipaumbele ni akina nani, Kwa miaka yote sitini waliopewa dhamana ya ku utilize rasirimali na kodi za nchi hii ili kuwaletea wananchi maendeleo ni akina nani? Tukisemaga vijana wengi wa CCM hamjitambui mnakuwa wakaliNchi nzuri sana Kwa ramani ila life ni misery,ukitaka kujua wewe angalia hata kaya zenye ving'amuzi
points zake huyo ndugu huwa anazitafuta kwa ajili ya kumpinga JPM tu 🤣🤣🤣 !Wewe usiwe unakurupuka na kuandika uozo. Unajua network ya railway zilizojengwa China? Hao millioni 30 wangesafirisha mazao yapi kivipi? Halafu uelewe kama ni infrastructure investment ni serikali ndiyo inahusika zaidi kujenga. Wakulima walihimizwa kulima na kupewa subsidies, serikali ya Tanzania lazima iwe inawahimiza wakulima wake kulima na wawape subsidies. China ardhi inakodishwa kwa wakulima, Tanzania ardhi bure karibu sehemu nyingi. Uvivu na ukosekanaji wa ubunifu kwa serikali na wakulima ndiyo unaleta umasikini.
SGR investment na uhmizwaji kwa wakulima kufanya kazi vinaenda simultaneously.
iy namba tatu ndio uti wa mgongo 🙌👍Biashara yoyote duniani ina hitaji vifuatavyo:-
1. Bank and banking
2. Insurance
3. Transportations
4. Advertisement
Zingatia sana hiyo No 3