2024 mwaka wa simanzi na masononeko

2024 mwaka wa simanzi na masononeko

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mwaka huu kweli tuanzeni kutubu na kumwamini Mungu yanaoendelea mitandaoni na duniani ni wazi kiwango cha watu kuchanganyikiwa na kufanya mambo ya ajabu kimeongezeka. Israeli anaua vile watoto wa Gaza na duniani inashuhudia kabisa halafu watu wako busy na maisha yao yaani ubinafsi wa hali ya juu. Magonjwa na mabalaa lazima Kwa style hiyo. Yote yaliyotabiriwa yanaonekana na hii teknolojia Umeongezeka tuendelee kushuhudia tutajua ukweli.
 
lazima tuishi kwenye utabiri.
ndio mwanzo wa utungu huu huna haja ya kuogopa
 
Wee jamaa hii Dunia mbona toka long time tu ni ubabe sema now smartphone inakufanya uone mambo ndio mengi ila ni machache sana
Just imagine vita za enzi za kina Genghis Khan, Alexander the great,Julius Caesar,King David, Nebuchadnezzar,Koresh Nk ziliondoa mamilioni ya Raia na ulikua ukatili haswa leo kuna vita au maigizo ya vita kamanda,
Dunia ya kale ilikua na ubabe kiasi kwamba Shetani mwenyewe alikua anagwaya!
 
Kabisa naungana nawewe tena sasa hivi technology imefanya watu wapunguze huo ukatili kwa maana wanajua wataonekana.
 
True hua nasoma kitabu cha Exodus cha Israelites,
Jamaa walifanya genocide ya kufa mtu kwa himaya zote walizopita chini ya kamanda Joshua bin Nuni,
Yaani walichinja chinja hawaachi mabaki,

Kuna hao wehu viking Barbarian wa Scandinavian walikua na kisanga hatari,
Bado hujawasoma Aztec na Mayan waliokua wana sucrifice pipo kama sadaka kwa miungu ooh Dunia ya kale utaomba poo broo!
😁😁
 
Hakika dunia ya leo ni tulivu sana sheria zimekuwa nyingi watu tunajiamulia nini tufanye hakuna jipya kwenye dunia hii vyote vilishafanyika sasa hivi tunaiga tu na bado hatujafikia yalipoanzia.
 
Amani huwafanya WANADAMU kumsahau Mungu,

Wakati huu wa mapigo, Mungu anatajwa sana.

Mungu ni MMOJA na JINA lake ni Yesu Kristo/ YESHUA HAMASHIACH

Amen
 
Back
Top Bottom