ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mwaka huu kweli tuanzeni kutubu na kumwamini Mungu yanaoendelea mitandaoni na duniani ni wazi kiwango cha watu kuchanganyikiwa na kufanya mambo ya ajabu kimeongezeka. Israeli anaua vile watoto wa Gaza na duniani inashuhudia kabisa halafu watu wako busy na maisha yao yaani ubinafsi wa hali ya juu. Magonjwa na mabalaa lazima Kwa style hiyo. Yote yaliyotabiriwa yanaonekana na hii teknolojia Umeongezeka tuendelee kushuhudia tutajua ukweli.