2024 USA Presidential Debate: Joe Biden avaana na Donald Trump kwenye mdahalo wa kwanza kabla ya uchaguzi November 2024

Kwa data Biden ameuwa sana, Trump anaongea bila data lakini zaidi anashuku tu na hasira zake kwa biden ingawa yawezekana Trump ni mzuri zaidi lakini lazima tukubali Biden kwa interview yuko vizuri sana
 
Biden ni kama yule rais wa Nigeria Tunubu, kwahy mpinzani wake yeyote ni lazima apate point kwake hasa hasa kwenye ishu ya umri na namna anavyo-behave kwa jamii
 
Wakuu, USA ina vyama vingi ila kwann kwenye mdahalo ni hao wawili tuu au kisa ndio vyama vinavyoshika dola kila muda?
 
Kwa data Biden ameuwa sana, Trump anaongea bila data lakini zaidi anashuku tu na hasira zake kwa biden ingawa yawezekana Trump ni mzuri zaidi lakini lazima tukubali Biden kwa interview yuko vizuri sana
data za kitu gani?

nb: sjapitia hiyo debate
 
Kwa data Biden ameuwa sana, Trump anaongea bila data lakini zaidi anashuku tu na hasira zake kwa biden ingawa yawezekana Trump ni mzuri zaidi lakini lazima tukubali Biden kwa interview yuko vizuri sana
Labda data za Buzza
 
Sawa! Lakini asiendelee kutuita sisi weusi kuwa tunatoka kwenye Shitholes!
 
Trump alishagundua Biden hana kumbukumbu vizuri, hajui anachokifanya so anajipigia anavyotaka.

Yaani hadi nimemhurumia yule mzee. Simpendi Biden ila leo nimemhurumia.

Yule mzee uzee umemuanza mapema. Ajabu ni kwamba amepewa muda mrefu wa mapumziko anajiandaa na maswali akapewa lakini bado.

Democrat kwani hawana mgombea mwingine hadi kumlazimisha yule mzee agombee? Wangemuacha apumzike tu ale uzee.
 
Niko serious mkuu sio sarcasm ..yangu ime ungua nipo kwenye harakati ya kuchukua ndogo nikute natumia tumia sasa niliona nchi 24 itafaa nka baki njia panda isije kua ndogo sana
Kwa flat 24 ni ndogo mkuu yaani kama ni sitting room haipendezi. At least weka 32
 
Trump alitawala mdahalo na naimani anaweza akarudi tena madarakani.
 
Trump alitawala mdahalo na naimani anaweza akarudi tena madarakani.
Trump atarudi kwa sababu hakuna mbadala wake. Democrat walikua na chance nzuri sana ya kumshinda Trump kama wangeweka mgombea mwenye uwezo.

Shida ya Biden ni umri, uzee wake umekuja mapema sana. So watu wengi wanakua na wasiwasi kama atamaliza ama ataweza kuhudumu miaka mingine 4 bila shida yoyote. Hilo amelionyesha wazi leo kwamba uwezo huo hana.

Mara aseme wanawake wanabakwa na dada zao, mara aseme mwanae alikufa vitani Iraq wakati alikufa kwa kansa Marekani, yaani ni vurugu, mzee amechoka. Wamuache babu yetu apumzike.
 
Hao wote hawafai

America ni vichaa kweli yani hamna vijana ambao wako smart kuliko hao vizee havijui vinaenda wapi.
 
Kuna mtu anakwembia Biden yupo vizuri kweli na anaongea kwa data.
 
itabidi nitafute clips, maana ni kama niliona musk kapost kwamba tumepata meme za kutosha , kwa maelezo haya itakua mzee amezingua sana
 
Hao wote hawafai

America ni vichaa kweli yani hamna vijana ambao wako smart kuliko hao vizee havijui vinaenda wapi.
vijana si ndo wale kina vivek na nick haley sjui wameishia wapi walikua wanapambana na trump kwenye chama chao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…