Prishaz
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 2,898
- 5,020
Tuko pamojaMdahalo live kura yangu iko kwa Trump wewe mdau wa jamiiforum uko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko pamojaMdahalo live kura yangu iko kwa Trump wewe mdau wa jamiiforum uko wapi?
Wanabodi,
Leo kutakuwa na mdahalo wa kwanza kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani, November 2024.
Mdahalo huu utawahusisha mgombea wa urais kwa ticket ya Democrat, rais Joe Biden na mpinzani wake Donald Trump kutokea chama cha Republican
Mdahalo huu unatabiliwa kuwa wa moto kutokana na mambo mengi yanayotokea duniani kwa sasa (Vita ya Russia na Ukraine, mgogoro wa Gaza, Misimamo yao kuhusu Taiwan na China)
Mdahalo huo utaanza saa 10 usiku kwa saa za Afrika Mashariki na utafanyika Atlanta
Mdahao huo umeandaliwa na CNN.
Anacholenga zaidi Trump: Trump anatoa sehemu kubwa ya maoni yake ya umma kwa malalamiko binafsi - akijibu madai yaliyokanushwa kwa muda mrefu ya udanganyifu katika uchaguzi wa 2020, akiwaona waliovamia Ikulu ya Marekani kama wazalendo, na kukemea mashtaka ya uhalifu anayokabiliwa kama ‘kazi za kisiasa’.
Washauri na washirika wa Trump wamemtaka rais huyo wa zamani kuzingatia masuala kama vile uchumi, uhalifu na mfumuko wa bei.
Suala la umri: Biden ni mzee mwenye umri wa miaka 81 na ndiye rais mzee zaidi wa Amerika. Trump ana miaka 78.
View attachment 3027895
View attachment 3027896
Sikiliza kupitia link hii
View: https://www.youtube.com/watch?v=-v-8wJkmwBY
Ndio vzr, kwann mzamie badala ya kuingia kihalaliTrump akichukua nchi nyinyi ngozi nyeuzi wazamiaji msahau kuishi USA
Nimezaliwa Colorado mkuuHapo ilula ndio usa?
data za kitu gani?Kwa data Biden ameuwa sana, Trump anaongea bila data lakini zaidi anashuku tu na hasira zake kwa biden ingawa yawezekana Trump ni mzuri zaidi lakini lazima tukubali Biden kwa interview yuko vizuri sana
Labda data za BuzzaKwa data Biden ameuwa sana, Trump anaongea bila data lakini zaidi anashuku tu na hasira zake kwa biden ingawa yawezekana Trump ni mzuri zaidi lakini lazima tukubali Biden kwa interview yuko vizuri sana
Huo ndio ukweliSawa! Lakini asiendelee kutuita sisi weusi kuwa tunatoka kwenye Shitholes!
Trump alishagundua Biden hana kumbukumbu vizuri, hajui anachokifanya so anajipigia anavyotaka.Trump ni mswahili sana, anaulizwa hiki anajibu kile, anaulizwa kile anajibu mjadala wa nyuma. Nadhani kinacho mbeba sana ni over confidence pamoja na kuwa public speaker mzuri japo battle za nyuma zote alipoteza.
So far natamani kitu kama hiki kingekuja huku kwetu ingekuwa safi sana.
Kwa flat 24 ni ndogo mkuu yaani kama ni sitting room haipendezi. At least weka 32Niko serious mkuu sio sarcasm ..yangu ime ungua nipo kwenye harakati ya kuchukua ndogo nikute natumia tumia sasa niliona nchi 24 itafaa nka baki njia panda isije kua ndogo sana
Trump alitawala mdahalo na naimani anaweza akarudi tena madarakani.Trump alishagundua Biden hana kumbukumbu vizuri, hajui anachokifanya so anajipigia anavyotaka.
Yaani hadi nimemhurumia yule mzee. Simpendi Biden ila leo nimemhurumia.
Yule mzee uzee umemuanza mapema. Ajabu ni kwamba amepewa muda mrefu wa mapumziko anajiandaa na maswali akapewa lakini bado.
Democrat kwani hawana mgombea mwingine hadi kumlazimisha yule mzee agombee? Wangemuacha apumzike tu ale uzee.
Trump atarudi kwa sababu hakuna mbadala wake. Democrat walikua na chance nzuri sana ya kumshinda Trump kama wangeweka mgombea mwenye uwezo.Trump alitawala mdahalo na naimani anaweza akarudi tena madarakani.
Kuna mtu anakwembia Biden yupo vizuri kweli na anaongea kwa data.Trump atarudi kwa sababu hakuna mbadala wake. Democrat walikua na chance nzuri sana ya kumshinda Trump kama wangeweka mgombea mwenye uwezo.
Shida ya Biden ni umri, uzee wake umekuja mapema sana. So watu wengi wanakua na wasiwasi kama atamaliza ama ataweza kuhudumu miaka mingine 4 bila shida yoyote. Hilo amelionyesha wazi leo kwamba uwezo huo hana.
Mara aseme wanawake wanabakwa na dada zao, mara aseme mwanae alikufa vitani Iraq wakati alikufa kwa kansa Marekani, yaani ni vurugu, mzee amechoka. Wamuache babu yetu apumzike.
itabidi nitafute clips, maana ni kama niliona musk kapost kwamba tumepata meme za kutosha , kwa maelezo haya itakua mzee amezingua sanaTrump atarudi kwa sababu hakuna mbadala wake. Democrat walikua na chance nzuri sana ya kumshinda Trump kama wangeweka mgombea mwenye uwezo.
Shida ya Biden ni umri, uzee wake umekuja mapema sana. So watu wengi wanakua na wasiwasi kama atamaliza ama ataweza kuhudumu miaka mingine 4 bila shida yoyote. Hilo amelionyesha wazi leo kwamba uwezo huo hana.
Mara aseme wanawake wanabakwa na dada zao, mara aseme mwanae alikufa vitani Iraq wakati alikufa kwa kansa Marekani, yaani ni vurugu, mzee amechoka. Wamuache babu yetu apumzike.
vijana si ndo wale kina vivek na nick haley sjui wameishia wapi walikua wanapambana na trump kwenye chama chaoHao wote hawafai
America ni vichaa kweli yani hamna vijana ambao wako smart kuliko hao vizee havijui vinaenda wapi.
Hao wahindi hawafai we huoni yule Sunak alivyo iharibu UKvijana si ndo wale kina vivek na nick haley sjui wameishia wapi walikua wanapambana na trump kwenye chama chao