Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
-
- #21
Kama kuna thamani anayoingeza katika mahusiano yenu uyo ni sawa kabisa. Kuna wanawake wengine ukiondoa sex hakuna anacho offer kwenye mahusiano, hawa ni wale wanaamini kutoa mbususu pekee ndio uhalali wa kukubebesha gharama za shida na tamaa zake za kufukuzana na fashion za nguo na matoleo mapya ya iphone.Aisee! Vipi Kwa sisi tuliobahatika kupata wanawake wanaotupenda na kutujali mkuu? Pesa wanatupa , hawatupigi mizinga, anachokipata yeye ni chetu sote na tunachopata wanaume ni cha wote pia?
Mimi ninachotaka kueleza wanaume wenzangu ni kwamba wanawake wazuri kwa maana ya kujali bado wapo na tunaishi nao mitaani
Wanaume tumeumbwa mateso bwana mkuuNilishawahi kumpiga chini demu mmoja hivi kausha damu. Anakuja geto anakaa mpaka siku 3 achangii chochote. Anakula bure, anatumia umeme bure, maji bure, shughuli ya kitandani kwa 98% naifanya mimi cha kushangaza anataka niwe nampa hela wakati kimsingi yeye ndie anatakiwa kunipa hela mimi kwa sababu ndie anaenufaika zaidi. Nikampiga chini.
Kausha damu wapo kila sehemu. Hata mikoani uko kuna smart phone wanajua kila kitu kinachoendelea mjini na wao wanaenda na trend. Hawe Songea, Kigoma, Kahama popote pale binti akileta pigo za kausha damu ni mwendo wa hit and runMtu kapewa mimba Songea huko
Kausha damu wa Dar atapataje funzo?
Hakika. Kuna best yangu Juzi alinipigia simu anasema hana hata hela ya kula...nikampotezea. jana namkuta kamnunulia mama yake zawadi ya laki 1.Katika watu pesa zao zina macho ni wanawake, kwanza ni wabahili halafu wana hesabu kali sana, mtu ana pesa mkononi hivi sasa imepangiwa mipango miezi sita ijayo. Halafu kutoa pesa zao huwa inawauma sana. Lakini tuishi nao. Mwanamke anaweza kuwa na milioni anatamani elfu tano yako.
Woote na wewe tunaweka kundi moja tunaliita kausha damu. Kwa nini tunasema ni matapeli, wakati mnataka kuomba hela mnatuita majina mazuri darling, honey nk.Uzuri hao mademu pia kuna dada zenu, wadogo zenu, mabinamu na watoto wenu. So; karma has no menu, you get served what you deserve
Sasa piga Mashine kimbiaMleta mada uko sahihi sana i feel what u say big tym, hayo maviumbe ni maj!n! mufilisi. Hela ninayo na sioni taabu kutoa ila sitoi na sitatoa hela kwa mwanamke ambae hana chembe ya huruma, utu na ubinadamu. I observe too well i know.
Sina tatzo na kuomba hela ila kuna vitu mwenyewe na vi expect toka kwake from my care and affection nayompa ila utakuta Yani ni maviumbe flan selfish sanaa yanjiangalia yenyewe tu yani ukutane nalo moja li zembe alaf halijitumi kufanya kazi let alone kuchangia hata mawazo chanya yakukusogeza hayana ila ni kuomba hela na kutaka kukutumia tu…..
Kuna mmoja nilikutana nae kwenye harusi tuka exchange number nikaimbisha siku ya 2 mtu ananiomba laki 2 out of thin air kwamba anataka ya saloon. WTF
Nikamuambia kwa hyo wewe mtu kuwa rafiki yako hadi akupe hela.
Mtu basi omba hata 50k utaeleweka mtu siku ya pili anataka laki 2. Hahaha kweli bongo tambalalez u know. Hahaha vijana madem wa kweli wapo na madem pisi kali njaa kali ni wa kumwaga pia.
Ndio wanaitwa kausha damu?🤣🤣 You guys mko level ya juu kwenye misemo.🤣🙌Unakua umetoa funzo kwa kausha damu wengine.
Hii misemo ya wanaume tumeumbwa mateso, kitanda hakizai halamu na mingine inayomtengenezea mwanaume fikra ya kukumbatia mateso hata kama ana nafasi ya kujinasua ni ya kipuuzi ndio misemo inayosababisha wanaume wanajibebesha tabu ambazo wangeweza kuziepuka, wanang'ang'ania limwanamke libinafsi, lisilokua na adamu na limalaya lililokubuu. limwanamke limefanya umalaya wake limekuletea mimba isiyokua yako halafu ulee tu eti kitanda hakizai halamu, limwanamke lichoyo, libinafsi, halina shukrani, halilidhiki, haliongezi value yoyote kwenye mahusiano uendelee kulilea tu eti wanaume tumeumbwa mateso.! that is total bullshit. Iyo misemo ni ya kizamani haipaswi kupewa kipaumbele kwenye kizazi hiki cha wanawake wadangaji na kausha damu.Wanaume tumeumbwa mateso bwana mkuu
Dawa yake mpe pesa, akileta za kuleta mpe tena pesa.akitaka kukuacha mpe tena pesa. Dozi ni pesa kutwa mara 3 itatibu magonjwa yote
Hello kaisha damu,how'd?🤣🤣🤣🤣Mtu kapewa mimba Songea huko
Kausha damu wa Dar atapataje funzo?
AbsolutelySasa piga Mashine kimbia
Na wanafikiri kuongwa ni haki yao. Ukimnyima hela anakuona kama shetani fulani hivi. Akishavaa kihasara hasara akaingia kiwanja basi anajiona ana haki ya kununuliwa bia, chakula na kugharamiwa usafiri wa kuondoka.Kama Dar ni hatari wanawake wame kua omba omba sana hali ni mbaya ,tena saiv hawaoni ata aibu
🤣🤣🤣Hii misemo ya wanaume tumeumbwa mateso, kitanda hakizai halamu na mingine inayomtengenezea mwanaume fikra ya kukumbatia mateso hata kama ana nafasi ya kujinasua ni ya kipuuzi ndio misemo inayosababisha wanaume wanajibebesha tabu ambazo wangeweza kuziepuka, wanang'ang'ania limwanamke libinafsi, lisilokua na adamu na limalaya lililokubuu. limwanamke limefanya umalaya wake limekuletea mimba isiyokua yako halafu ulee tu eti kitanda hakizai halamu, limwanamke lichoyo, libinafsi, halina shukrani, halilidhiki, haliongezi value yoyote kwenye mahusiano uendelee kulilea tu eti wanaume tumeumbwa mateso.! that is total bullshit. Iyo misemo ni ya kizamani haipaswi kupewa kipaumbele kwenye kizazi hiki cha wanawake wadangaji na kausha damu.
Jichanganye sasa, tangu lini kunguru akafugika?Wanaume tumeumbwa mateso bwana mkuu
Dawa yake mpe pesa, akileta za kuleta mpe tena pesa.akitaka kukuacha mpe tena pesa. Dozi ni pesa kutwa mara 3 itatibu magonjwa yote
Walimu hukutana sana na haya majina mwishoni mwa mwezi (tarehe za mishahara).Woote na wewe tunaweka kundi moja tunaliita kausha damu. Kwa nini tunasema ni matapeli, wakati mnataka kuomba hela mnatuita majina mazuri darling, honey nk.
Mataperi = matapeli. Sasa ukipiga mimba ukaingia mitini si ushenzi huo? Mwanaume aliyekamilika hakimbii mimba. Cha muhimu kama wewe bado ni maskini kaa mbali na wanawake. Maskini inatakiwa tu ajiunge na CHAPUTA au akanunue changu kwa bei elekezi ya Tsh 3000.Wanaume walio wengi wanaingia gharama kuwafanyia wema wanawake kwa kuongozwa na huruma ya kuwaona wanawake ni innocent and honest creatures au kujitengenezea mazingira ya kupewa mbususu.
Sikilizeni vijana, wanawake wa sasa almost wote ni mataperi, shida wanazoombea msaada wa kifedha ni uongo. Ukiombwa hela kwa ajiri ya luku, kwenda hospitali, n.k jua ni uongo na iyo text ya kuombwa hela hautumiwi peke yako, text iyo iyo moja mnatumiwa sio chini ya wanaume 20 na wanaume watakaofanya muhamala basi wanawake wanaona mafala na kuwadhiaki sana uko kwenye story zao saluni na magetoni kwao.
2024 ukimtongoza demu akichomoa move on, don't keep friendly zone she will use you as a leverage for her financial needs. Kijana mwenzangu, 2024 date na mwanamke mwenye kazi halali inayomuingizia kipato ila hawa wanaamini kutoa mbususu pekee ndio uhalali wa kukubebesha shida zake piga hit and run. 2024 say no to "relationship kausha damu"
Washkaji zako wa kiume wakikwama hata kwa mambo yasiyo na lazima kama mfuko upo vizuri walinde maana na wewe siku ukikwama watukulinda ila wanawake hapana maana wanawake hawana msaada wowote mwanaume ukifulia.
Najua kuna wadangaji, washamba wa mapenzi na waliolishwa limbwata watakuja kutapika hapa, wapuuzeni hao. Kijana mwenzangu 2024 binti wa mtu akikuletea pigo za kausha damu piga mimba ingia mitini.