Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwanza kabisa niwapongeze wote waliopambana humu JF na kwingineko kwa ajili ya kupigania haki kwenye Nchi yetu, Nchi ambayo ndimo tulimozaliwa na ndio Nchi ambayo wamo ndugu zetu na huenda tukazikwa humu humu siku zetu zitakapofika mwisho.
Si kazi rahisi kupiganiia haki kwenye nchi kama Tanzania, Nchi ambayo viongozi wake ni kama Wafalme, ambao huwarithisisha vyeo vya Juu watoto wao na ndugu zao, Wameifanya Nchi kama Shamba la bibi yao.
Hata hivyo 2024 na tena bila kujali chochote tutazidisha mno mapambano ya kudai haki kwa njia zote zitakazojitokeza, tutajitahidi Kuelimisha, kushawishi na kuelekeza, na wakati mwingine tutatumia njia zisizofahamika.
Sasa kama ulidhani harakati za kupigania haki zimekwisha basi jipange upya, hujawahi kuziona harakati kama tutakazozifanya kuanzia 2024.