Habari wadau..
Nimeota maandamano makubwa ya kulazimisha Magufuli abaki Rais mpaka atakavyokosa nguvu yatatokea mwaka 2025 kutokana na kasi yake ya maendeleo..
Nawaza hivi hata treni ya umeme haijaanza kazi ila anapendwa sana na wananchi mpaka wapinzani wanakosa hoja za kumpinga.. wanabaki kusema anatekeleza ilani ya chama chao..
Nawaza tu miaka hiyo 2024 / 2025 umeme wa stieglers umewaka.. unit moja ya umeme bei chini.. huku umeme haukatiki katiki... huku hospitals nchi nzima zinahudumia wa Tanzania.. huku ma bara bara ya lami yamenoga...itakuwa balaaaa la shangwe kwa watanzania.