2024 Watanzania tutaandamana kulazimisha Dkt. Magufuli aongezewe muda zaidi. Umeme wa Stieglers utakapowaka, hospitali, SGR zitaleta shangwe sana

Habari wadau..

Nimeota maandamano makubwa ya kulazimisha magufuli abaki Rais mpaka atakavyokosa nguvu yatatokea mwaka 2025 kutokana na kasi yake ya maendeleo..

Nawaza hivi hata treni ya umeme haijaanza kazi ila anapendwa sana na wananchi mpaka wapinzani wanakosa hoja za kumpinga.. wanabaki kusema anatekeleza ilani ya chama chao..

Nawaza tu miaka hiyo 2024 / 2025 umeme wa stieglers umewaka.. unit moja ya umeme bei chini.. huku umeme haukatiki katiki... huku hospitals nchi nzima zinahudumia wa Tanzania.. huku ma bara bara ya lami yamenoga...itakuwa balaaaa la shangwe kwa watanzania.
Kitendo cha mtu mmoja kutaka kuongoza watu zaidi ya million 50 kwa miaka mingi ni ishara kwamba watu hao na kiongozi wao hawajitambui
 
Labda auandamane aje akusaidie kumzalisha mkeo, taka kweli wewe [emoji57][emoji57][emoji57], yani wapuuzi wachache ka nyie ndio mnafanya waafrika tudharaulike, mtu akimaliza muda wake akae pembeni, wanaong'ang'ania madaraka unakuta walikiuka haki za binadamu hivyo wanaogopa kuondolewa kinga waking'oka, narudia tena takataka ww

Sent using Jamii Forums mobile app
JPM amerithi mengi kutoka kwa watangulizi wake na kuyaendeleza. Watakaomfuata nao watarithi ya JPM na kuyaendeleza. Zama za usultani zilishapita zamani.
 
Najitolea kukuroga mapema kabisa kabla haujaanza kuandamana..Tafadhali sana wana JF naombeni huyu mniachie mimi peke yangu nimgeuze tambala la deki, akanyagwe mpaka na mende
Huna sababu ya kujihangaisha. Dr. Bashiru amesema wazi kuwa CCM INATUMIA NGUVU ZA DOLA KUBAKI MADAKANI. Hivyo usimloge mwenzako wala msiandamane. Vyombo vya dola tayari vimo kazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau..

Nimeota maandamano makubwa ya kulazimisha magufuli abaki Rais mpaka atakavyokosa nguvu yatatokea mwaka 2025 kutokana na kasi yake ya maendeleo..

Nawaza hivi hata treni ya umeme haijaanza kazi ila anapendwa sana na wananchi mpaka wapinzani wanakosa hoja za kumpinga.. wanabaki kusema anatekeleza ilani ya chama chao..

Nawaza tu miaka hiyo 2024 / 2025 umeme wa stieglers umewaka.. unit moja ya umeme bei chini.. huku umeme haukatiki katiki... huku hospitals nchi nzima zinahudumia wa Tanzania.. huku ma bara bara ya lami yamenoga...itakuwa balaaaa la shangwe kwa watanzania.
Vurugu ndiyo zitakuwa na chanzo halali kwani sasa hivi wasemaji wanazidi kupaka kinyesi utawala wake.
 
Ndiyo mlivyowaza sio.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom