Hujaota Corona bwashee?!!Habari wadau..
Nimeota maandamano makubwa ya kulazimisha magufuli abaki Rais mpaka atakavyokosa nguvu yatatokea mwaka 2025 kutokana na kasi yake ya maendeleo..
Nawaza hivi hata treni ya umeme haijaanza kazi ila anapendwa sana na wananchi mpaka wapinzani wanakosa hoja za kumpinga.. wanabaki kusema anatekeleza ilani ya chama chao..
Nawaza tu miaka hiyo 2024 / 2025 umeme wa stieglers umewaka.. unit moja ya umeme bei chini.. huku umeme haukatiki katiki... huku hospitals nchi nzima zinahudumia wa Tanzania.. huku ma bara bara ya lami yamenoga...itakuwa balaaaa la shangwe kwa watanzania.
Si kwamba umeota, unawaza tumbo lako shemeji aendelee kuneemeka nawe upate pa kuegemea!Habari wadau..
Nimeota maandamano makubwa ya kulazimisha magufuli abaki Rais mpaka atakavyokosa nguvu yatatokea mwaka 2025 kutokana na kasi yake ya maendeleo..
Nawaza hivi hata treni ya umeme haijaanza kazi ila anapendwa sana na wananchi mpaka wapinzani wanakosa hoja za kumpinga.. wanabaki kusema anatekeleza ilani ya chama chao..
Nawaza tu miaka hiyo 2024 / 2025 umeme wa stieglers umewaka.. unit moja ya umeme bei chini.. huku umeme haukatiki katiki... huku hospitals nchi nzima zinahudumia wa Tanzania.. huku ma bara bara ya lami yamenoga...itakuwa balaaaa la shangwe kwa watanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee comments kama hizi zilipotea mnoSi kwamba umeota, unawaza tumbo lako shemeji aendelee kuneemeka nawe upate pa kuegemea!
Jitegemee acha akili za kushinda sebleni kwa shemeji yako!
Ungemuota na atakayeitisha hayo maandamano kabla haujaamka,,Mana mnaweza mkajikuta mpo walewale wa ndoto za chama tawalaHabari wadau..
Nimeota maandamano makubwa ya kulazimisha magufuli abaki Rais mpaka atakavyokosa nguvu yatatokea mwaka 2025 kutokana na kasi yake ya maendeleo..
Nawaza hivi hata treni ya umeme haijaanza kazi ila anapendwa sana na wananchi mpaka wapinzani wanakosa hoja za kumpinga.. wanabaki kusema anatekeleza ilani ya chama chao..
Nawaza tu miaka hiyo 2024 / 2025 umeme wa stieglers umewaka.. unit moja ya umeme bei chini.. huku umeme haukatiki katiki... huku hospitals nchi nzima zinahudumia wa Tanzania.. huku ma bara bara ya lami yamenoga...itakuwa balaaaa la shangwe kwa watanzania.
Kwa hiyo ameiba kabuku kanyanya ndiyo kaweka bando?Si kwamba umeota, unawaza tumbo lako shemeji aendelee kuneemeka nawe upate pa kuegemea!