Achana na vingine vyoote..,,weka hyo “waliouwawa”…..Wajukuu wa Nyerere zaidi ya 10k wamechinjwa ndani ya Tanganyika yao…damu lita 50k zimelowesha udongo wa Tanganyika. Na muaji kutoka Zanzibar yuko huru anaendelea kula neema za Tanganyika.
Historia itakihukumu vibaya sana kizazi hichi chetu, tutaulizwa maswali mengi sana na vizazi vijazo, kuwa ilikuaje baba au babu au bibi mkaruhusu wakauliwa wote hawa na mkabaki mnamuangalia tu uyo muaji?
kutakuwa na maswali mengi sana ambayo mm na ww tutakosa majibu zaidi ya kusema watanganyika wenzetu waliopo kwnye vyombo vya ulinzi na usalama walitusaliti.
Hasta La Victoria Siempre.