kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Wakuu wa wakuu wa wakuu nimekuja huku nikitweta na kuhisi kuishiwa pumzi dakika za mwanzoni tu.
Hivi ni mimi tu ambae 2025 ni kama ishaanza kunipelekea moto kwa spidi ya ngiri mkia juu in kasongo mbona wewoooo voice.
Asee nilikuwa na mikakati kabambe sana nashukuru katika hiyo nilijisemea sitokunywa pombe na kweli hadi leo tarehe22 sijanjwa kinywaji chochote kikali zaidi ya tule tuflying fish.
Hapa nina bando tu la kuandika dukuduku langu akaunti yangu inasoma sifuri nashukuru sina mke mtoto wala mchumba ila nina deni la laki mbili na hamsini ambalo sijui nalilipaje.aloo kuchanganyikiwa kupo
Matumaini pekee kwa sasa ni ajira portal ambao nao naona kama wanatoa ka pdf kafupi kama mkia wa kasongo wewoooo...
Allah nikumbuke kiumbe wako harakati zangu ni za kiugonga ulimbo ambapo ukipata laki mbili kwa mwezi basi lazima utoe fungu la kumi na kuwasaidia wazazi ambao umri umekimbia.
I lay my case
Ni Mimi Mgonga Ulimbo Mwenye Matumaini Tele Na Sekretarieti Ya Ajira🙏🙏