Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tumeshuhudia utekaji, mauaji na mateso mbalimbali kwa wananchi.
Kama haya ni huu uchaguzi mdogo kabisa. Je nini kitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu ambao mi wa Kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani.
Mimi naapa Sitajiandikisha wala kupiga kura kwani hawa watu tayari Mshindi wa Urais, Washindi wa Ubunge na Madiwani wameshaandaliwa na wanawajua, sina haja kwenda kujianika peupe ili nianze kufuatiliwa niuawe.
Niabaki nyumbani, kwa usalama wangu na ndugu zangu sitajiweka peupe kujidanganya mwenyewe eti nimetoka kupiga kura Kumchagua fulani wakati siyo kweli. Endeleeni ninyi wenyewe pangeni foleni kwaajili ya kuhalalisha ubatili wenu.
Sitaki nasema sitaki kujiweka mhuri wa kuuawa. Ila kuna siku mtachoka kusimama foleni ya kujitekenya na kucheka wenyewe. Ipo siku mtachoka. Jamii ya kimataifa itawashangaa kwa kumpata mshindi wa magumashi. Mtachoka.
Nafafanua maana ya ujumbe wangu:
CCM Imekuwa na kawaida sana kutumia mabavu kuhakikisha wanamuweka kiongozi wao wanaye mtaka. Kwao ni IWE ISIWE watamuweka wamtakaye. Huu utekaji ni kwasababu ya kuwakatisha tamaa upinzani. Ni mapema sana kwangu kufa kwa ajili ya siasa.