Pre GE2025 2025 Mshindi wa Urais, Ubunge na Udiwani anajulikana. Sitajiandikisha wala kupiga kura

Pre GE2025 2025 Mshindi wa Urais, Ubunge na Udiwani anajulikana. Sitajiandikisha wala kupiga kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM ndiyo hawataki amani, wanauwa, wanateka na kupiga watu wakati wa uchaguzi.

Dawa kupigwa, kutekwa na kuuawa ni kufanya hayo hayo, maana wahenga walisema dawa ya moto ni moto.
Aisee inafikirisha
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Tatizo kuna unfair grounds ktk mchakato wa uchaguzi...the ruling party ana advantages nyingi sana zinazompa nguvu kushinda mara kwa mara kwa kishindo. Ni nguvu ya umma pekee yenye uwezo kugeuza hii hali..tatizo linabaki mfumo wa ulinzi na usalama bado nguvu ya Emma haiwezi fua daf7 kwakuwa wengi wetu ni ignorance, waoga, benders kufata upepo, tunarubuniwa kirahisi tena kwa vitu rahisi hasa karibia na uchaguzi...kwa mfumo huo hata chama kingine kikipata nafasi kitanufaika na mfumo huo..
 
Back
Top Bottom