Tatizo kuna unfair grounds ktk mchakato wa uchaguzi...the ruling party ana advantages nyingi sana zinazompa nguvu kushinda mara kwa mara kwa kishindo. Ni nguvu ya umma pekee yenye uwezo kugeuza hii hali..tatizo linabaki mfumo wa ulinzi na usalama bado nguvu ya Emma haiwezi fua daf7 kwakuwa wengi wetu ni ignorance, waoga, benders kufata upepo, tunarubuniwa kirahisi tena kwa vitu rahisi hasa karibia na uchaguzi...kwa mfumo huo hata chama kingine kikipata nafasi kitanufaika na mfumo huo..