Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Uchaguzi wa amaniWatanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.
Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.
Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea
Kama Mungu yupo na majeshi yapo basi aliepushe hili. Bila Tundu Lissu mie sitapiga kura wala kusimamia uchaguziWatanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.
Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.
Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea
I remember my hubby nilikua namwita dovutwa😆😆😆dah ..Watanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.
Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.
Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea
Lipumba pia atatoa ushindani makubwa sanaWatanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.
Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.
Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea
Lema eti Lipumba akiitisha mkutano ata mke wake haendiLipumba pia atatoa ushindani makubwa sana
I remember my hubby nilikua namwita dovutwa😆😆😆dah ..
Mpigie LipumbaKama mungu yupo na majeshi yapo basi aliepushe hili. Bili Tundu Lissu mie sitapiga kura wala kusimamia uchaguzi
KitukoDovutw, cheyo,Shibuda ndo contender wa CCM
wa
Mzee wa ubwabwa anachukua nchi mapema sanaWatanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.
Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.
Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea
Watanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.
Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.
Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokead
kama hali hii ya kina lissu kutoshiriki uchaguzi mkuu, samia atapata ushindi wa mserereko kwa kura za wanachama wa chama chake tu. Kina rungwe na dovutwa kama kawaida yao watasindikiza na kuishia kuangukia pua, labda safari hii waonewe huruma waachiwe wabunge na madiwani wawili watatu au hata mmoja nao wajione wamo kwenye demokrasia. Kuna lile genge la chadema la G55 wanataka kugombea, Lissu yuko ndani, inawezekana genge hilo likagombea na kupata ubunge wakatinga bungeni na kuonekana mambo yalikuwa sawa uchaguzini mpaka wapinzani (wa mchongo) wameshinda. Utakuwa ni uchaguzi wa aina yake usiokuwa na mvuto wala hamasa ya kweli. kampeni zitapooza sana. Wanachi wamekata tamaa kushiriki chaguzi za abrakadabraWatanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.
Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.
Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea