PreGE2025 2025 ni Samia vs Dovutwa na kina Rungwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Rungwe atagawiwa kura chache kuhalalisha uchaguzi
 
Ila watanzania kuna nati zimelegea vichwani mwetu, yani mpo kufurahia kabisa uchaguzi mbovu utakavyokua badala ya kupinga?? ๐Ÿ˜ฅ
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†Unayakumbuka mapigo yake ya nguo? Ngoja niipekenyue hiyo picha๐Ÿ˜†๐Ÿ™Œ..Dovutwa Inside10 ๐Ÿ˜†
Nimewakumbusha job hapa eti sahivi wamesema wataniita Doyo Hassan Doyo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
Picha ya fahim dovutwa hii hapa
 
We ulitaka kampeni za matusi, uropokaji, uzushi, upotoshaji, uwongo, ujenzi wa chuki?
 
Kama Mungu yupo na majeshi yapo basi aliepushe hili. Bila Tundu Lissu mie sitapiga kura wala kusimamia uchaguzi
Mimi sitapiga kura na nitauvuruga uchaguzi.
 
Watanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.

Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.

Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea
Wasiotaka kupiga kura waachwe wasilazimishwe wengine tutaenda kupiga kura
 
Watanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.

Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.

Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea
Wallah nimefurahi sana.Mzee Rungwe atatuletea ubwabwa. Kitoweo/mboga itakuwa alizeti za kukaangwa.
 
Watanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.

Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.

Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea
Kama anateleza vile ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
We mwenye akili mbovu tuambie hasara
 
Nilikuwa nalitafuta hili Jina๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Chief Lutalemwa Yemba.

Kwa Sauti ya Jaji Nani vile?
Ile Naisikiaaa ile sauti naisikiaaaa Sauti ya Lubuva.

Ni sawa na asilimia sifuri nukta sifuri sifuri 1.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ