2025 nimekataza mtu yeyote nyumbani kwangu kwenda kupiga kura, Ni kupoteza muda tu, Pongezi kwenu CCM mmejua kutukatisha matumaini ya kupiga kura.

Badae tutalukuta unalalamika Tanzania hakuna democracy ! wewe ndio wa kwanza kuiminya democracy
 
Back
Top Bottom