Lukub JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 3,622 Reaction score 4,100 Dec 8, 2022 #21 Badae tutalukuta unalalamika Tanzania hakuna democracy ! wewe ndio wa kwanza kuiminya democracy
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Dec 8, 2022 #22 NetMaster said: Waende kupiga kura za nini ? Nikiwa kama mkuu wa kaya hakuna mtu wa kwenda kupiga kura, FULLSTOP!! Click to expand... Piga ngumi ukuta halafu ukalale!
NetMaster said: Waende kupiga kura za nini ? Nikiwa kama mkuu wa kaya hakuna mtu wa kwenda kupiga kura, FULLSTOP!! Click to expand... Piga ngumi ukuta halafu ukalale!
The Sunk Cost Fallacy 2 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 9,436 Reaction score 10,944 Dec 8, 2022 #23 Moisemusajiografii said: Nani aliyekukaririsha maujinga kama hayo? Click to expand... Sasa wajinga wa Chadema ndio wanaweza kuwa chama mbadala wa CCM? Waganga njaa hao?
Moisemusajiografii said: Nani aliyekukaririsha maujinga kama hayo? Click to expand... Sasa wajinga wa Chadema ndio wanaweza kuwa chama mbadala wa CCM? Waganga njaa hao?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Dec 9, 2022 #24 The Sunk Cost Fallacy 2 said: Sasa wajinga wa Chadema ndio wanaweza kuwa chama mbadala wa CCM? Waganga njaa hao? Click to expand... Una mihemko kama binti wa uswahilini aliyeachika kwa hawara yake.Lazima uitaje CHADEMA ili ueleweke?Nchi yoootee hakuna wenye akili mpaka uwaone wawe CCM?
The Sunk Cost Fallacy 2 said: Sasa wajinga wa Chadema ndio wanaweza kuwa chama mbadala wa CCM? Waganga njaa hao? Click to expand... Una mihemko kama binti wa uswahilini aliyeachika kwa hawara yake.Lazima uitaje CHADEMA ili ueleweke?Nchi yoootee hakuna wenye akili mpaka uwaone wawe CCM?