2025 Rais Mwanamke, Spika Mwanamke, na Jaji Mkuu mwanamke?

sem2708

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,414
Reaction score
4,534
Ishara zinaonesha kuwa soon mihimili yote mitatu inaweza kuwa chini ya akina mama hodari, kwa sasa wawili washapatikana, watatu atakuwa nani?

Namaanisha hii judiciary wingi mbona kama wako rigid and mascular sana, nao si watuletee mwana mama? ili tukamilishe utatu?

mzee wa trend reading Pascal Mayalla , vipi trend inasomekaje?
 
Kama tunaamini watatufikisha tunapotaka, nchi iwe ya asali na maziwa basi na iwe hivyo.
 
Hatuhitaji wawe wanawake au wanaume

Tunachohitaji kwao ni kazi na matokeo ya kazi zao yaonekane kwenye mipango na yaliyotarajiwa

Kutanguliza mbele Jinsia bila uwezo kiutendaji sio mpango
Kwani haujaona utendaji wa mama Samia na Naibu Spika Tulia?
 
Akilala akiamka atakuja na maono ya trend reading ya kutoka ndotoni, kesho anapandisha Uzi mreefu hapa.Kwani Jobo anazingua.
 
Taifa hili bado sana kuongozwa na mwanamke mark my words haitokaa itokee tena
 
Yaaan kisa ni wanawake basi wawe viongozi wa hiii mihimili.

KWA NCHI HII, AMBAPO NYUMA YA HIYO MIHIMILI, HAMNA MIFUMO HURU NA MADHUBUTU, HAMNA VISION , KILA RAIS ANALAKE...... [emoji117]MWANAMKE HAPASWI KUA RAIS.
Hata Samia mwenyewe , inatakiwa 2025 asigombee

ni hayo tu.....wala msihangaike kuniita Sukuma Gang !!!!

UKWELI NI KUA, SSH HAJAWAHI NA HATOKAA AWAHI KUFAA KUA RAIS WA JMT.

nyie wenyewe mashuhuda, akiongea unaona ni Mama wa Pwani, Mswahili ,Muislam ,Maneno mengii ,utendaji Sifuri.

Saizi wafanyabiashara wanajiamulia Bei za bidhaa wanavyotaka , Mnyonge karudi unyongeni enzi za JK !!

KWA SSH ??? HAPANA ,HAPANA ,HAPANA...TUMEPIGWA.
 
Hatuhitaji wawe wanawake au wanaume

Tunachohitaji kwao ni kazi na matokeo ya kazi zao yaonekane kwenye mipango na yaliyotarajiwa

Kutanguliza mbele Jinsia bila uwezo kiutendaji sio mpango
Na ni ujuha uliopitiliza
 
MATAGA wakifafanua kuwa 2025 mihimili yote mitatu inapaswa kuongozwa na wanawake bila ya kujua kuwa uongozi bora hautokani na jinsia😁😁😁
 
Yaaan kisa ni wanawake basi wawe viongozi wa hiii mihimili.

KWA NCHI HII, AMBAPO NYUMA YA HIYO MIHIMILI, HAMNA MIFUMO HURU NA MADHUBUTU, HAMNA VISION , KILA RAIS ANALAKE...... [emoji117]MWANAMKE HAPASWI KUA RAIS.

Hata Samia mwenyewe , inatakiwa 2025 asigombee

ni hayo tu.....wala msihangaike kuniita Sukuma Gang !!!!

UKWELI NI KUA, SSH HAJAWAHI NA HATOKAA AWAHI KUFAA KUA RAIS WA JMT.

nyie wenyewe mashuhuda, akiongea unaona ni Mama wa Pwani, Mswahili ,Muislam ,Maneno mengii ,utendaji Sifuri.

Saizi wafanyabiashara wanajiamulia Bei za bidhaa wanavyotaka , Mnyonge karudi unyongeni enzi za JK !!

KWA SSH ??? HAPANA ,HAPANA ,HAPANA...TUMEPIGWA.
Maoni ya kiroboto wa ndani ya chama kwakuwa umekitenga na sgang.
 
Mmeshaona ni rahisi kuwahadaa ili muendelee kuiba kilaini Kama mnavyomdanganya Hangaya?
eti mabwawa yamekauka na yeye anaamini,anaanzaa kulaumu ng'ombe wa wasukuma kunywa maji mengi unafikiri wasukuma wameanza kufuga mwaka huu.
 
Kwa hiyo ngombe wenu no wakidigitali hawanywi maji enzi hizi?
 
Kwani haujaona utendaji wa mama Samia na Naibu Spika Tulia?
Tulia ana utendaji gani?. Acheni kusifia vitu visivyofaa. Amekumbatia wabunge wasiokuwa na sifa za ubunge na kutetea kupitishwa kwa tozo ambazo kwa Sasa hazina umuhimu maana kukopa kupo pale palepale mpaka Speaker ameamua kuwa mbogo.
 
Hatuhitaji wawe wanawake au wanaume

Tunachohitaji kwao ni kazi na matokeo ya kazi zao yaonekane kwenye mipango na yaliyotarajiwa

Kutanguliza mbele Jinsia bila uwezo kiutendaji sio mpango
Kwa katiba chakavu ya mwaka 1977 hamna muujiza wa kimaendeleo tutauona, hata awepo malaika Toyoyo toka mbingu ya saba
 
Back
Top Bottom