Kwani haujaona utendaji wa mama Samia na Naibu Spika Tulia?Hatuhitaji wawe wanawake au wanaume
Tunachohitaji kwao ni kazi na matokeo ya kazi zao yaonekane kwenye mipango na yaliyotarajiwa
Kutanguliza mbele Jinsia bila uwezo kiutendaji sio mpango
Kwani haujaona utendaji wa mama Samia na Naibu Spika Tulia?
Na ni ujuha uliopitilizaHatuhitaji wawe wanawake au wanaume
Tunachohitaji kwao ni kazi na matokeo ya kazi zao yaonekane kwenye mipango na yaliyotarajiwa
Kutanguliza mbele Jinsia bila uwezo kiutendaji sio mpango
Maoni ya kiroboto wa ndani ya chama kwakuwa umekitenga na sgang.Yaaan kisa ni wanawake basi wawe viongozi wa hiii mihimili.
KWA NCHI HII, AMBAPO NYUMA YA HIYO MIHIMILI, HAMNA MIFUMO HURU NA MADHUBUTU, HAMNA VISION , KILA RAIS ANALAKE...... [emoji117]MWANAMKE HAPASWI KUA RAIS.
Hata Samia mwenyewe , inatakiwa 2025 asigombee
ni hayo tu.....wala msihangaike kuniita Sukuma Gang !!!!
UKWELI NI KUA, SSH HAJAWAHI NA HATOKAA AWAHI KUFAA KUA RAIS WA JMT.
nyie wenyewe mashuhuda, akiongea unaona ni Mama wa Pwani, Mswahili ,Muislam ,Maneno mengii ,utendaji Sifuri.
Saizi wafanyabiashara wanajiamulia Bei za bidhaa wanavyotaka , Mnyonge karudi unyongeni enzi za JK !!
KWA SSH ??? HAPANA ,HAPANA ,HAPANA...TUMEPIGWA.
Kwa hiyo ngombe wenu no wakidigitali hawanywi maji enzi hizi?Mmeshaona ni rahisi kuwahadaa ili muendelee kuiba kilaini Kama mnavyomdanganya Hangaya?
eti mabwawa yamekauka na yeye anaamini,anaanzaa kulaumu ng'ombe wa wasukuma kunywa maji mengi unafikiri wasukuma wameanza kufuga mwaka huu.
Kwa hiyo enzi za JPM walikuwa wanakunywa mchanga ndo maana umeme ulikuwa haukatiki?Kwa hiyo ngombe wenu no wakidigitali hawanywi maji enzi hizi?
Tulia ana utendaji gani?. Acheni kusifia vitu visivyofaa. Amekumbatia wabunge wasiokuwa na sifa za ubunge na kutetea kupitishwa kwa tozo ambazo kwa Sasa hazina umuhimu maana kukopa kupo pale palepale mpaka Speaker ameamua kuwa mbogo.Kwani haujaona utendaji wa mama Samia na Naibu Spika Tulia?
Nikuulize ndugu mfugaji wa kidigitali.Kwa hiyo enzi za JPM walikuwa wanakunywa mchanga ndo maana umeme ulikuwa haukatiki?
Kwa katiba chakavu ya mwaka 1977 hamna muujiza wa kimaendeleo tutauona, hata awepo malaika Toyoyo toka mbingu ya sabaHatuhitaji wawe wanawake au wanaume
Tunachohitaji kwao ni kazi na matokeo ya kazi zao yaonekane kwenye mipango na yaliyotarajiwa
Kutanguliza mbele Jinsia bila uwezo kiutendaji sio mpango