2025 tumuunge mkono mama Samia. Kama kuna dukuduku la mapungufu tumweleze ashughulikie. Hakuna haja ya kuwa na makundi

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,734
Reaction score
5,750
Ni vyema tukubali kuwa kazi inaendelea. Miradi mikakati inakwenda vizuri. Mfano daraja la Wami limekamilika. Sgr kipande cha Dar Moro kipo tayari na na kitaleta mabadiliko ya maisha kwa wananchi.

Tumuunge mkono mama ili kazi iendelee. Hakuna haja ya kuwa na makundi na na kuleta kauzibe kwa mama 2025.

Mapungufu yawekwe wazi ili ayafanyie kazi.
 
Nyie tangu lini mna utamaduni wa kuambiwa mapungufu na kuyafanyia kazi? Nyie mkiambiwa mapungufu si mnamgeuza adui aliyewaambia na mnampiga risasi au kumteka
 
T

Tangu hayati Julius Nyerere alipotuasa kujisafisha
 
Ni vyema tukubali kuwa kazi inaendelea. Miradi mikakati inakwenda vizuri. Mfano daraja la Wami limekamilika. Sgr kipande cha Dar Moro kipo tayari na na kitaleta mabadiliko ya maisha kwa wananchi.

Tumuunge mkono mama ili kazi iendelee. Hakuna haja ya kuwa na makundi na na kuleta kauzibe kwa mama 2025.

Mapungufu yawekwe wazi ili ayafanyie kazi.
Sawa CCM hoyee, Samia Hoyee, 2025 na Samia
 
Back
Top Bottom