Pre GE2025 2025 tunahitaji mdahalo wa wagombea Urais kama ilivyofanyika kwa TLS. Unawaweka wagombea kwa uhalisia wao, hakuna longolongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kuna wakati unasema basi tu ngoja twende tu hivi hivi ilhali unajua kabisa kwamba uwezo wa kiongozi wako ni mdogo. na hata kukiwa na mdahalo, labda lissu tu ndo anaweza kukubali lakini wengineo wote hawawezi kwenda, kwa sababu huo mdahalo utaenda kuwaaibisha tu kama ilivokuwa kwa biden wa us.
 
Hivi Unadhani Inawezekana! Kwanini Samia akajikaange mwenyewe.
Inawezekana mkuu, kusikia kitu gani anaenda kufanya Ili muda mwingine uende kiongozi mwenye maono na uthubutu wa kuongoza nchi,sema ndo hivyo tunaishi kwenye nchi ya kusadikika kila kitu tunaona hakiwezekani, lakini kwa Dunia ya sasa midahalo inatakiwa iwepo Ili tupime na uwezo wa wagombea
 
Hujanielewa! Unaweza kumweka Samia na mtu hata Magoti DC wa Kisarawe katika mdahalo? Au hata kijana wa darasa la saba Samia akatoboa?
 
Aloo Tanzania itakuwa mbali mno tukifikia hatua hiyo. Kuna mgombea atalia kwa hasira jukwaani maana kujenga hoja ni zero!
 
The problem of Africans is that, those with ideas have no power, and those with power have no ideas.
 
Hujanielewa! Unaweza kumweka Samia na mtu hata Magoti DC wa Kisarawe katika mdahalo? Au hata kijana wa darasa la saba Samia akatoboa?
Nimekuelewa mkuu,ndo maana nikasema tunahitaji hii midahalo Ili tupime uwezo wa mgonbea kama anafaa au hatufaii,
 
Samia aingie kwenye mdahalo na Lissu? Si ataanguuka kwa kiwewe! Halafu tukitaka kutendenda haki tuseme kuwa na midahalo miwili. Wa kwanza kuhusu mambo ya taifa letu, uongozi na sera za nchi, ufanyike kwa kiswahili. Wa pili uwe wa uchumi na mambo ya kimataifa, ufanyike kwa kiingereza. Maushungi atazimia.
 
Una hamu nenda kale 🥬 lakini ukifuatilia vya watu utaishia kutekwa,mnauliza mdahalo,mmesahau bajeti inasomwa mwezi mzima watu wanahoagwa pesa kibao kumbe bajeti hewa.Yaani wanaita Hadi kamati kumbe pesa yenyewe washalipa madeni yote Wana robo tuu na nyingine wanakopa,ndo maana wanasema sitatoa siri za balaza la mawaziri.
 
Mtu atazaa kitoto cha uzeeni bila uchungu,Lumumba ni tatizo kubwa.
 
Mgombea wa CCM akikubali nakata kadi 2 za CCM Kwa mpigo kama inaruhusiwa. Mwaka ule wa mchakato majimboni wagombea Ubunge wa CCM walikimbia. Mtangazaji Shabani atakubaliana na mimi. Mhando alipata shida Kwa kukubali hili lifanyike kwenye MEDIA yake. Uwezo mdogo wengi mbeleko
 
Wenyewe watakuambia hatuna utamaduni huo
 
Hapana waandishi wawili wa Tanzania naona wanaweza Kuna Salimu Kikeke na Odemba Tuwape sifa zao tu wanaendesha Mijadala fikirishi na yenye Tija sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…