kuna wakati unasema basi tu ngoja twende tu hivi hivi ilhali unajua kabisa kwamba uwezo wa kiongozi wako ni mdogo. na hata kukiwa na mdahalo, labda lissu tu ndo anaweza kukubali lakini wengineo wote hawawezi kwenda, kwa sababu huo mdahalo utaenda kuwaaibisha tu kama ilivokuwa kwa biden wa us.