Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Sio wabunge na mawaziri, Bali hadi wasomi na Maprof wetu wote, kazi yao sasa si kushighuka kutatua matatizo yetu kama nchi!
Kazi yao kubwa ni kuunanga utawala wa miaka mitano iliyopita na kumsema kwa kejeli na dharau nyingi Hayati JPM ambaye sasa haishi katika ulimwengu huu tulionao, Je inatusaidia nini sisi!
JPM hayuko nasi na yuko kwenye ulimwengu usioonekana, hawezi kurekebisha chochote kilichokosewa kama wanavyodai wao, hawezi kutusaidia tena,
Ninachoshangaa Mimi, ni kuona wasomi watu, wabunge, na hata mawaziri ambao kazi yao ni kidiri na matatizo ya nchi yetu, badala yake wako bize kupopoa kazi zilizofanywa na huyo ambaye Leo, amepumzika
Ikiwa JPM hakufanya chochote, na sasa ni mwaka na nusu hayuko nasi, Je, kipindi hiki cha mwaka na nusu ya kutokuwepo kwake JPM mbali na kwamba ameleta mapinduzi makubwa ktk nchi hii hata kama hamtaki, mtwambie nyinyi, mmefanya nini la maana?
Tulisahau kukatika kwa umeme, na tulijawa na matumaini ya umeme wa Rea nchi nzima hasa vijijini kungelikuwa kumeunganishwa mwaka jana 2022 na umeme nchi nzima ingelikuwa inamwanga huo na kwa bei chee
Tulijaa matumaini ya kurejea kwa samaki wakubwa Victoria
Tulijaa matumaini mengi mengi na mabadiriko hayo tuliyaona mengine moja kwa moja
Sasa tunachokiona kwenye utawala huu, sio kushughurika kupunguza shida za wananchi tena, Bali kuziongeza na kuzizalisha kwa kasi,
Tuambieni, mnachukua hatua gani kama viongozi wetu kudhibiti kabisa upandaji wa bidhaa nchini na kusababisha wananchi kuwa na maisha magumu kwa kiasi cha kutisha?
Tukiwa na ubongo makini, hatuwezi kubaki tukilalamika tuu kuhusu vita vya urusi na Ukrain isipokuwa akili alizotujalia Mungu tuutumie huo mgogoro kuwa fursa kwa nchi yetu lakini badala yake kila anayesimama, hoja yake ni Magufuli alitufanya hiki na hiki!
Tunadhani Magufuli atashughurika na matatizo yetu sasa?
Mh Rais wetu, ndani yake anania njema mno, anahuruma na anaiona nchi yetu I kipiga hatua, nadhani sasa ifike pahali na nyie mnaomsaidia, simameni kwa dhati ili nchi iende, acheni porojo, mnayekaa mkimsema, amefanya sehemu yake tena inayoheshimika
JPM hatorudi tena kurekebisha kile tunachodhani kakosea na badala yake turekebishe tuliopo
Wasomi wetu, saidieni nchi msiwe watu wa kulalamika kama watoto wasioijua kesho yao
Mnachojaribu kukisema kila uchwao, mnaigawa nchi kwa jambo la kijinga ambalo halitusaidii wala kutupa msaada wowote kwa wakati huu tuliopo na ujao
Mkumbuke, hata mkisema kila siku JPM alikuwa Dicteta na muuwaji mno, lakini mjue, hambadirishi chochote kwa aliowagusa kwa mema!
2025 tukiwauliza mlifanya nini kwa kipindi cha miaka mitano, mtajibu nini zaidi ya kusema mlikuwa mkimnanga mtu ambaye hakuwepo?
Mungu bariki Tanzania, Mungu Bariki viongozi wetu wazalendo