Paragraph ya mwisho inaonesha jinsi gani wafuasi wa jiwe msivyo na kumbukumbuTrend analysis hazidanganyi kugombea uspika tu watu wanakaribia 200
2025 natabiri wabunge waliopo wajiandae kutakuwa na wachukua fomu zaidi ya 100 kutaka kuteuliwa ba CCM kuwa wagombea wa jimbo na viti maalum
Ugombea uraisi kupitia CCM Mama Samia naye ajiandae kutakuwa na watia nia zaidi ya 500 tunarudi enzi za Kikwete za uspika,uraisi au ubunge na udiwani hausomewi!!! Watu hawaogopi kabisa kuchukua fomu
Kwa kweli fursa hiyoNgoja niandae tangazo la mganga toka sumbawanga nguzo za umeme zijiandae..tupige pesa