Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,203
I will be short
Majimbo yanazidi kuwa mengi , gharama zinakuwa kubwa . Hizi pesa serikali Itatoa wapi ?? Majimbo mengi Inchi mdogo . What’s going on ??
Hapo Dc na RC . A Naongea na wabunge 3-4 kila Wilaya ??
Hivi sisi watu weusi tumechanganyikiwa au ?!
Hatuna hela , tuna increase government cost ?? Where do we get the money ??
Where are new source of government income ?!
Tuna viongozi waajabu sana