adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
😀😀😀 kichapo si cha Mchezo nakionaWakikutana na braza Messi utawahama hao 😂
😀😀😀 kichapo si cha Mchezo nakionaWakikutana na braza Messi utawahama hao 😂
Link bass
Aisee nimecheka kwa sauti kali mpaka jirani anashangaa😀😀😀🤣🤣🤣 umemcheki Refa?
Jamaa mwenyewe the Killer...
Mkubwa nimeamini maneno yako..me niliona game ya kutoa drawTimu ya ushindi ni timu ya ushindi tu
Amejikaza sio kama AlgeriaaaAnachezea muda sio mrefu huyo.
0-0
Huko hawezi..huko Teknolojia ni mbele kwa mbele..Ila FIFA kiboka kuna moment tunazimiss sanaa hasa zile za kurusha mipria robo saaaa😀😀😀Huyo alitufanyia uhuni sana pale Unguja
Bora nimelala, sijataka kuendelea kuangalia nikaona Senegal inavyofungwa. Ila kuna kichokozi kimoja bado kikawa kinanitumia sms, nyng nimezikuta asbh 😬Shida nini?
Mwajiri anakusubiri jamaniNacheki game yao na Austria hapa.
Kazi wanayo
Pia nimeikosa, nimeona tu kwenye matokeo, Algeria wamechezea 3. How was it?Tukutane saa 10 Argentina vs Algeria
Sema Algeria wamefungwa goli 3 na Leo Messi.Pia nimeikosa, nimeona tu kwenye matokeo, Algeria wamechezea 3. How was it?
Saivi naangalia Jordan-Austria