moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ni Mndali wa Ireješ¤£Suzuki utadhani mlundi
Ni Mndali wa Ireješ¤£Suzuki utadhani mlundi
GermanyGermany vs paraguay 23:30 nani atabondwa?
Hahaha Brasil inapendwa sana na waafricaWanatumia toyota then washabikia brazil kweli!!
Kila la kheri japan
Spain japo wameanza kwa kusuasua lakini watafika mbali.Kweli dharau sio Nzuri.ššš
Germany anaenda wapi mkuu?Spain japo wameanza kwa kusuasua lakini watafika mbali.
Mabingwa ni kati ya Spain, France na German
Soma hyo post vizuri.bingwa ni uhoranziSpain japo wameanza kwa kusuasua lakini watafika mbali.
Mabingwa ni kati ya Spain, France na German
Imeisha hyo.kinachoniuma nilijuwa mapema ila nimedharauJAMAA WATAMALIZA CHA KWANZA NA MOJA
Uholanzi inawezekana ila sio GermanySoma hyo post vizuri.bingwa ni uhoranzi
Wamebaki na jina tu.Brazil ya sasa ime-drop kisoka. Soka lao halina tofauti Sana na timu nyingi za kiafrika