moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kabisa.Brazil ingetoka ingekuwa pigo kubwa sana kwa mpira wa miguu
Kombe la Dunia linategemea Brazil kuleta burudani.
Kabisa.Brazil ingetoka ingekuwa pigo kubwa sana kwa mpira wa miguu
Hii chumvi ukiweka baharini Samaki wote wanakauka.Jina ni Brazili 🇧🇷🇧🇷
1. Brazil 🇧🇷ndiyo nchi pekee waliotwaa taji 👑 mara nyingi, mara 5.
1. Brazil 🇧🇷 ni nchi ya kwanza kuchukua Ubingwa nje ya bara lake 1958- Sweden. Bara Ulaya.
2. Brazil 🇧🇷 Ni nchi pekee iliyoshiriki fainali zote tokea zilipoanzishwa mwaka 1930- 2026 (96yrs).
3. Brazil 🇧🇷 ndiyo nchi yenye wachezaji wengi wenye majina makubwa kwenye mchezo wa soka Duniani.
4. Brazil 🇧🇷 ni nchi pekee miongoni mwa nchi zilizotwaa kombe la Dunia ambayo hajachukua Ubingwa kwenye ardhi ya nyumbani.
5. Brazil🇧🇷 Ndiyo nchi inayopiga mpira mkubwa.
6. Brazil 🇧🇷 ni nyumbani kwa wachezaji wenye vipaji vikubwa walioacha majina yao kwenye WC pamoja nao ni Edson Arrantes do Nascimento 'PELE'
7. Brazil 🇧🇷Ndiyo nchi iliyoandaa fainali za mfano za mwaka 1950 baada kusimama kwa miaka 12 kwa sababu ya vita kuu ya pili.
Mechi ya Fainali ilyochezwa july 16 1950 kwenye uwanja wa Maracana lilishuhudiwa na mashabiki 173,850, ambao asilimia 95 walikuwa wenyeji (Wabrazil).
Idadi hiyo ya watazamaji haijawahi kutokea popote kwenye kumbukumbu za mchezo wa soka ngazi ya timu za Taifa au hata virabu, na hilo halitarajiwi kutokea miaka ya hivi karibuni.
Rekodi hiyo imeishi kwa miaka 76 sasa.
Kwa sababu hiyo, zipo nchi zikisikia rekodi hizi, zinapoteza mchezo kabla mechi haijaanza.
Ujerumani, Brazil, Ufaransa na Spain mmoja ataondoka naloHivi mmefikiria possibility ya ujeru kubeba ndoo mbona haipewi nafasi kabisa
👆👆Kwa mbungi litakalopigwa hapo Paraguay watajuta kwanin walipata goal
Daaa, mbona hatuelewani bro.Sasa hizi rekodi za zamani zinasaidia timu vipi kupata ushindi au zinawatisha wapinzani?
unashabikia historia🙉🙉🙉🙉Jina ni Brazili 🇧🇷🇧🇷
1. Brazil 🇧🇷ndiyo nchi pekee waliotwaa taji 👑 mara nyingi, mara 5.
1. Brazil 🇧🇷 ni nchi ya kwanza kuchukua Ubingwa nje ya bara lake 1958- Sweden. Bara Ulaya.
2. Brazil 🇧🇷 Ni nchi pekee iliyoshiriki fainali zote tokea zilipoanzishwa mwaka 1930- 2026 (96yrs).
3. Brazil 🇧🇷 ndiyo nchi yenye wachezaji wengi wenye majina makubwa kwenye mchezo wa soka Duniani.
4. Brazil 🇧🇷 ni nchi pekee miongoni mwa nchi zilizotwaa kombe la Dunia ambayo hajachukua Ubingwa kwenye ardhi ya nyumbani.
5. Brazil🇧🇷 Ndiyo nchi inayopiga mpira mkubwa.
6. Brazil 🇧🇷 ni nyumbani kwa wachezaji wenye vipaji vikubwa walioacha majina yao kwenye WC pamoja nao ni Edson Arrantes do Nascimento 'PELE'
7. Brazil 🇧🇷Ndiyo nchi iliyoandaa fainali za mfano za mwaka 1950 baada kusimama kwa miaka 12 kwa sababu ya vita kuu ya pili.
Mechi ya Fainali ilyochezwa july 16 1950 kwenye uwanja wa Maracana lilishuhudiwa na mashabiki 173,850, ambao asilimia 95 walikuwa wenyeji (Wabrazil).
Idadi hiyo ya watazamaji haijawahi kutokea popote kwenye kumbukumbu za mchezo wa soka ngazi ya timu za Taifa au hata virabu, na hilo halitarajiwi kutokea miaka ya hivi karibuni.
Rekodi hiyo imeishi kwa miaka 76 sasa.
Kwa sababu hiyo, zipo nchi zikisikia rekodi hizi, zinapoteza mchezo kabla mechi haijaanza.
Tukale wap mkuuVijana kubeti sio kaz
Ngoja tuonePenalty hazinaga mwenyewe japo Neuer mzuri kwenye penalty.
Aahaaaa,kumbe Hadi huku gen z wapoGen Z kwenye world cup hawataki unyonge sio paraguay wala japan na wengineo ili kombe ni la yoyote hakuna kibonde.
CCM jifunzeni kwenda na wakati mkishupaza shingo litawakuta jambo