Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,514
- 4,531
Anceloti hamna kocha mule kaka , zama na nyakati zao zishapita hana mbinu pia Brazil hana kitušHamna timu imeshinda world cup na kocha wakigeni bwana.....na brazil kwa sasa hawana kizazi cha maana ndio ukweli.
Utalaumu kocha buree