2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Amegusia eti ronado ndio aliwatoa mavumbini ureno wakashinda euro na nations league
Hicho kitu ndio zaidi ya extraordinary kweli?
Vipi yule mchezaji aliyefikisha contribution ya zaidi ya mabao 100 kwa mwaka na hakuna aliyewahi kufanya hivyo zaidi yake?
 
Hii ilikuwa zamu yake
Kwa kile kikosi daaah sifa za kupenda ukuu ukuu zikafanya wamkatae
Ureno hua inakikosi kizuri sana, sijui kwanin hawajawah kufika hata fainal, Mimi naona timu kubwa kama Argentina Messi alikua na deni ukilinganisha na watangulizi wake, naamini ronaldo akistaafu ureno itacheza final
 
Hicho kitu ndio zaidi ya extraordinary kweli?
Vipi yule mchezaji aliyefikisha contribution ya zaidi ya mabao 100 kwa mwaka na hakuna aliyewahi kufanya hivyo zaidi yake?
Mimi jamaa namuelewi, mapenzi kwa ronaldo yamemfanya awe kipofu, eti anasema kama messi amecomplete football kwanin Jana alilia??! 🤣

Mwingine anasema kama messi ana kila kombe basi kwanini alienda kucheza fainal 😃😃

Team ronaldo ni zaidi ya burudani
 
Mimi jamaa namuelewi, mapenzi kwa ronaldo yamemfanya awe kipofu, eti anasema kama messi amecomplete football kwanin Jana alilia??! 🤣

Mwingine anasema kama messi ana kila kombe basi kwanini alienda kucheza fainal 😃😃

Team ronaldo ni zaidi ya burudani
Urithi wa Mzee wao huo au humuonagi majibu yake ya kishujaa ?
 
Giuliano aliwekewa mpira mbele ya mabeki akaedna kupiga krosi , pasi toka kwa namba kumi argentina au ile jezi anavaaga Mpanzu sheikh wng ?
So appealing yako ni kwamba unaweka sawa takwimu kuwa ilikuwa ni 6 touches na sio 5?

Okay twende na hizo hizo 6 ambazo umeona sio fair kumpunguzia 1 ambayo aliitolea jasho.

Kingine?
 
Umeamia huku?

Sasa kikosi bora si maoni ya watu tu kama ambavyo mashabiki wenzako wakilalamikia tuzo ya mchezaji bora kupewa Rodri.

Kwako unakubali Rodri ni mchezaji bora kuliko Messi?
Namimi nataka maoni yako
 
Chochote ambacho amekifanya Ronaldo ni extraordinary

Mafanikio yote ya Ronaldo ni earning sio given.
Hayo ni maoni yako maana hata naona mafanikio ya Messi ni yake mwenyewe sio ya kupewa.

Sasa tuachane na maoni tuangalia uhalisia ambao kila mtu anauona ni kipi hicho extraordinary kimefanywa na Ronaldo?
 
Mashabiki wa penaldo na pessi kwa muda sasa wa miaka zaidi ya 16 mmekua mnavutana sana hawa jamaa waliroga waganga wao wako vizuri
 
Nilisahau kutoa shukrani za dhati kwa uran kwa kuanzisha huu uzi. Shukrani kwa wote mliokuwa mkipita hapa kila siku kwa coment na mapicha.
Niwatakie wote afya na baraka tele. Mkae na amani ya bwana.
Asante sana mkuu.
🫡🫡
 
Back
Top Bottom