Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
Duh! Noma sana.Uchaguzi wa 2030 utakuwa mgumu sana kama tutaendela na mazingira haya ya siasa tuliyonayo kwa sasa.
Kama 2025 raia hawakwenda kupiga kura hiyo 2030 watajifungia ndani siku 7 bila kutoka siku ya kupiga kura
πππHakuna kiongozi aliyechaguliwa na wananchi wa Tanzania.
Hao wote waliopo lengo ni kutumikia matumbo yao.
Tunaongozwa na Mishanga na Mishungi
Manyani na Masokwe.