Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,174
- 2,265
Ili uongoze ama kufanya jambo linalo tokana na watu ina lazimu wakuamini mkuu,Bado unazungumzia imani.🤭
Imani ni upumbavu jombaa penda usipende imani ni upumbavu
Kwa wakati huu wenyewe dhamana ni wanaozungumzia fact
Kuwaaminisha upumbavu hakukupi dhamana ya karagos moveIli uongoze ama kufanya jambo linalo tokana na watu ina lazimu wakuamini mkuu
Usizungushe maneno, zama za ccm zimepita. Hii ya wao kuendelea kupora chaguzi hadi kufikia kufanya mauaji, ndio unadhani watu hawana imani na siasa. Watu wana imani na siasa ila wameichoka ccm.Salam wanajamvi, kwa namna mambo yalivyo ni wazi ushiriki na imani ya wananchi kwenye mambo ya siasa umepungua, nikiwa na maana ni ngumu kwa mwananchi wa kawaida kuamini nini viongozi wanacho eleza wakiwa kwenye majukwaa na hii ni kutokana na timing ilio fanyika katika mambo yalio tokea hapo nyuma,
Kuna uwezekano wa pande moja kupoteza kabisa na huenda wengine wakaumiza vichwa zaidi kurudisha imani ya watu na masikio yao tena
Timing ikiwa na maana mwenye nacho akikaa vibaya anaweza nyang'anywa, na la kushangaza hapa sio adui atakae tekeleza hilo, na mmiliki ana nguvu ya kulinda jambo lake kwa sheria zote hata kama njia zilizo tumika zinaonekana si sahihi hiyo ndio siasa na ni vema tuelewe
" A pottayed opponent and a real opponent"
Shida huwa ina ibuka pale a potrayed opponent akitaka kuwa real opponent yaani mpinzani wa kuzuga akiutamani upinzani wa kweli, hii ndio sehemu ya kuumiza kichwa kwa mwenendo huu ni lazima njia zote zitumike
Kwenye dunia ya siasa za demokrasia huwa ni personal interest faida za mtu binafasi au team interest faida za kikundi kwanza ndio mengine yafuate japo inawezekana kukawa na faida za wote ila ni ngumu kwenye mfumo wa namna hii labda kuwe na chama kimoja ama mfumo wa kikomunisti wenye mlengo wa maendeleo kwa ajili ya nchi na chama, ikiibuka chama kingine basi faida huwa ina gawanywa kwa shida sana
Kwa yalio endelea baada ya mwisho wa mwaka 2025 mpaka sasa ni dhahiri kunatakiwa ifanyike kazi kubwa sana na viongozi wetu kwa upande wa maendeleo ya nchi, pamoja na mahitaji ya wananchi kwa ujumla ili kuepusha uundwaji wa serikali ya pamoja
Ikiwa uelewa ni tofauti na mitazamo basi ni muda wa chama kingine chenye ushawishi, MUNGU asaidie Tanzania iwe ardhi ya utulivu
Mungu Ibariki Tanzania
Hili la kuundwa chama kingine chenye ushawashi ilikuwa ni mpango wa ccm toka awamu ya Magufuli, tatizo ilikuwa ni ushawishi wa chama cha cdm. Ni hivi kizazi kimebadilika, hiki si kizazi cha kuchagulia vijana mke/mume, hakuna uwezekano wa chama kuanzishwa na ccm na kiwe na ushawishi, bali nature yenyewe ndio itaamua chama kipi kiwe ma ushawishi. Waambie ccm wasipoteze muda, hiki ni kizazi kinachiuliza, si kizazi cha kubambukiwa.Ili uongoze ama kufanya jambo linalo tokana na watu ina lazimu wakuamini mkuu,
Ukikosa wa kukupa imani yake ina maana ushawishi una pungua, kuna majukumu yanahitaji namba kubwa ya watu, wakipungua inaleta shida
CCM na viongozi wake kwa sasa hawahitaji kura za wananchi ili kushika dola na wala hawana heshima nazo tena,wanacho hitaji wao ni polisi na bunduki pekee, kuamini kinyume na hivyo ni kujipumbaza sanaSalam wanajamvi, kwa namna mambo yalivyo ni wazi ushiriki na imani ya wananchi kwenye mambo ya siasa umepungua, nikiwa na maana ni ngumu kwa mwananchi wa kawaida kuamini nini viongozi wanacho eleza wakiwa kwenye majukwaa na hii ni kutokana na timing ilio fanyika katika mambo yalio tokea hapo nyuma,
Kuna uwezekano wa pande moja kupoteza kabisa na huenda wengine wakaumiza vichwa zaidi kurudisha imani ya watu na masikio yao tena
Timing ikiwa na maana mwenye nacho akikaa vibaya anaweza nyang'anywa, na la kushangaza hapa sio adui atakae tekeleza hilo, na mmiliki ana nguvu ya kulinda jambo lake kwa sheria zote hata kama njia zilizo tumika zinaonekana si sahihi hiyo ndio siasa na ni vema tuelewe
" A pottayed opponent and a real opponent"
Shida huwa ina ibuka pale a potrayed opponent akitaka kuwa real opponent yaani mpinzani wa kuzuga akiutamani upinzani wa kweli, hii ndio sehemu ya kuumiza kichwa kwa mwenendo huu ni lazima njia zote zitumike
Kwenye dunia ya siasa za demokrasia huwa ni personal interest faida za mtu binafasi au team interest faida za kikundi kwanza ndio mengine yafuate japo inawezekana kukawa na faida za wote ila ni ngumu kwenye mfumo wa namna hii labda kuwe na chama kimoja ama mfumo wa kikomunisti wenye mlengo wa maendeleo kwa ajili ya nchi na chama, ikiibuka chama kingine basi faida huwa ina gawanywa kwa shida sana
Kwa yalio endelea baada ya mwisho wa mwaka 2025 mpaka sasa ni dhahiri kunatakiwa ifanyike kazi kubwa sana na viongozi wetu kwa upande wa maendeleo ya nchi, pamoja na mahitaji ya wananchi kwa ujumla ili kuepusha uundwaji wa serikali ya pamoja
Ikiwa uelewa ni tofauti na mitazamo basi ni muda wa chama kingine chenye ushawishi, MUNGU asaidie Tanzania iwe ardhi ya utulivu
Mungu Ibariki Tanzania
Ni kweli ufuatiliaji umeongeza ila response ina kosekana sababu ya hiyo imani kupungua na ili mambo yaende inatakiwa kurudi mkuuKwa sasa Ushiriki wa Wananchi kwenye Mambo Ya siasa umeongezeka 100% Hata wale wachache walio kua wanasema hawapendi siasa Wako on alerts.
Kilicho pungua ni IMANI kwa chama tawala
Nimesoma, kikubwa tunatakiwa kuepuka ushawishi wa vijana ama watu wa umri tofauti kuifanyia ardhi hii kinyume na msingi wake naelewa tumeumia ila tuta athiri mengi tukifika huko tuombe Mungu sanaUsizungushe maneno, zama za ccm zimepita. Hii ya wao kuendelea kupora chaguzi hadi kufikia kufanya mauaji, ndio unadhani watu hawana imani na siasa. Watu wana imani na siasa ila wameichoka ccm.
Ni juu ya ccm kujua kuwa wakati ni ukuta, ikishindana nao itaumia yenyewe. Machafuko pekee ndio yataitoa ccm madarakani, mambo ya serekali ya mseto ni utapeli usio na maana yoyote.
Misingi ya nchi hii ni ipi, ama ni kutawaliwa kwa shuruti na ccm?Nimesoma, kikubwa tunatakiwa kuepuka ushawishi wa vijana ama watu wa umri tofauti kuifanyia ardhi hii kinyume na msingi wake naelewa tumeumia ila tuta athiri mengi tukifika huko tuombe Mungu sana
Ni kweli siasa ni maisha na yanayo tokea hapo lati ndio mabadiliko ndio maana tunadhani kuna uwezekano wa hayo yote kutokeaHili la kuundwa chama kingine chenye ushawashi ilikuwa ni mpango wa ccm toka awamu ya Magufuli, tatizo ilikuwa ni ushawishi wa chama cha cdm. Ni hivi kizazi kimebadilika, hiki si kizazi cha kuchagulia vijana mke/mume, hakuna uwezekano wa chama kuanzishwa na ccm na kiwe na ushawishi, bali nature yenyewe ndio itaamua chama kipi kiwe ma ushawishi. Waambie ccm wasipoteze muda, hiki ni kizazi kinachiuliza, si kizazi cha kubambukiwa.
Ni kwa ajili ya wote kupitia wakubwa mkuuSerikali mseto huwa kwa faida ya nani? Wananchi au wanasiasa kugawana vyeo?
Hapana sio utawala wa namna hiyo, japo tukiwa tunataka kufanya transitions kama watu wanavyo hitaji kwa sasa ni lazima namna nzuri itafutwe ili kuepusha kama yalio tokea, kwa nchi za wenzetu hizi transition zina fanyika kutokana na kuwepo kwa mfumo mmoja wenye msingi na unaofuata maslahi ya wote nadhani tunaweza kuwa nao ila utahitaji kuundwa kwa awamu kadhaa kwanza mkuu kama majirani japo wao walichapana kwa vipindi tofauti mpaka kufikia hapo, hili tuliepuke sana huku kwetu watanzania wanaweka vinyongo sanaMisingi ya nchi hii ni ipi, ama ni kutawaliwa kwa shuruti na ccm?
Shauriana na ccm kama watakuelewa maana haionekani kama wanaweza kusoma alama za nyakati. Toka uchaguzi wa 2010 ilionyesha dhahiri hiki si kizazi cha ccm, lakini waliendelea kushapaza shingo. 2020 ilipaswa kuwa mwisho wa ccm, lakini wakapingana na nature, wakapora uchaguzi, na hii 2025 wakadhani bado wangeweza kufanya hivyo, matokea yake ni mauaji ya kiwango kile.Hapana sio utawala wa namna hiyo, japo tukiwa tunataka kufanya transitions kama watu wanavyo hitaji kwa sasa ni lazima namna nzuri itafutwe ili kuepusha kama yalio tokea, kwa nchi za wenzetu hizi transition zina fanyika kutokana na kuwepo kwa mfumo mmoja wenye msingi na unaofuata maslahi ya wote nadhani tunaweza kuwa nao ila utahitaji kuundwa kwa awamu kadhaa kwanza mkuu kama majirani japo wao walichapana kwa vipindi tofauti mpaka kufikia hapo, hili tuliepuke sana huku kwetu watanzania wanaweka vinyongo sana
Nimesoma kwa umakini ni mazitoShauriana na ccm kama watakuelewa maana haionekani kama wanaweza kusoma alama za nyakati. Toka uchaguzi wa 2010 ilionyesha dhahiri hiki si kizazi cha ccm, lakini waliendelea kushapaza shingo. 2020 ilipaswa kuwa mwisho wa ccm, lakini wakapingana na nature, wakapora uchaguzi, na hii 2025 wakadhani bado wangeweza kufanya hivyo, matokea yake ni mauaji ya kiwango kile.
Kwa sasa viongozi wa ccm walioko madarakani bila ridhaa hawawezi kuitisha mikutano bila kutoa pesa, kutumia nguvu za dola kupata hadhira inayokubalika. Katika mazingira haya usitegemee chama cha aina hiyo kuandaa transition ya kueleweka.
stakehigh