πŸ˜‚πŸ˜‚

Bwana Bongo

Senior Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
146
Reaction score
212
Muulize mshawishi wake mkubwa ni nani?

Akikwambia nandy, agnes masugange, Wema sepetu
Huyo ni mwanamke anaye penda mambo ya juu!

Akisema mama uyo ni wakupeleka home kabisa ukaonane na wazazi wakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawa viumbe huwa hawatabiriki hata kidogo.
Mtu ambaye ana uwezo wa kucheka kicheko Cha huzuni na kulia machozi ya furaha πŸ‘‰ MWANAMKE achana naye kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…