Bwana Bongo
Senior Member
- Dec 12, 2021
- 146
- 212
Muulize mshawishi wake mkubwa ni nani?
Akikwambia nandy, agnes masugange, Wema sepetu
Huyo ni mwanamke anaye penda mambo ya juu!
Akisema mama uyo ni wakupeleka home kabisa ukaonane na wazazi wake😂😂😂