🤔

Mimi yapo mengi Sana ya kukumbukwa nayo Ila siwezi kuyataja yote nikamaliza.

Bt swali ambalo tunatakiwa tujiulize Sana Ni je tukishakufa tutaenda mbinguni paradiso kwa Mungu ama tutaenda jehanamu kwa shetwani?
 
Au tutazaliwa tena sehemu nyingine
 
Nina muda hata wa kujua hayo kwani,yaan mi natenda wema nasepa,natenda ovu nasepa....ivo watajua wao wenyewe wakizika

Kumbe shemeji yangu pesa sio shida zako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwangu mimi siwezi jisemea labda jinyi ndio mseme kuwa mtanikumbuka kwa kitu gani?

Nitendayo ni mengi hila sina uwakika kama mtanikumbuka kwa hayo
 
Nawaachia watakao nizika. Maana wapo watakaosema mazuri wapo watakaonong'ona mabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…