Kama ilivyo ada mara zote mtu ukiwasilisha hoja nzito yenye tafakuri za kiutulivu ndani yake lazima uonekane mwehu fulani au mvuta bangi fulani.
Mimi sio nabii wala mtume ila 2099 tutegemee kuona nchi yenye jina jipya baada ya Dar na Zanzibar kuungana.
Lakini pia tuendelee kuombea nchi yetu hadi kufikia mwaka 3000 vijana wengi wasipopata ajira vikundi vya kigaidi vinaweza kuibuka na kuzua gumzo.
Tuendelee kusali sana maana hadi kufikia 2066 huenda kukaibuka chama kipya cha siasa kikaibuka na kuja kuongoza dola hapo 2080