2099 jiji la Dar litaungana na Zanzibar na kuwa nchi inayojitegemea?

kante mp2025

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
631
Reaction score
1,192
Kama ilivyo ada mara zote mtu ukiwasilisha hoja nzito yenye tafakuri za kiutulivu ndani yake lazima uonekane mwehu fulani au mvuta bangi fulani.

Mimi sio nabii wala mtume ila 2099 tutegemee kuona nchi yenye jina jipya baada ya Dar na Zanzibar kuungana.

Lakini pia tuendelee kuombea nchi yetu hadi kufikia mwaka 3000 vijana wengi wasipopata ajira vikundi vya kigaidi vinaweza kuibuka na kuzua gumzo.

Tuendelee kusali sana maana hadi kufikia 2066 huenda kukaibuka chama kipya cha siasa kikaibuka na kuja kuongoza dola hapo 2080
 
unazungumzia mambo ya karne moja mbeleni unaota au unatabiri? Bora ungesema dunia itaungana na kuwa na mtawala mmoja ungeeleweka
 
Back
Top Bottom