Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wait and you will see[emoji23][emoji23][emoji23]
Lol hyo ni ya 0.7mw ama ??? Kama 234mw hapa Nakuru County olkaria ilichukua 1.08bn$ hii ni ya nn ss??
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol hyo ni ya 0.7mw ama ??? Kama 234mw hapa Nakuru County olkaria ilichukua 1.08bn$ hii ni ya nn ss??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnakopa kwa ajiri ya maboss kusomesha watoto wao Ulaya kwa rushwa$21 mill ni ya kununua cat generator au sijaelewa mjuwe. Harafu kweli mtu unasifia, duu wa Tanzania wengine wana safari ndefu sana kufika dunia ya leo. Serikali inakopa visenti kama hivyo, nina shaka na hiyo serikali jamani.
my questions exactly..yaani nimecheka tuWhy is this in the Kenyan section? Hehe
huu msee anachekesha sana...eti 21 mil plant...lol!...hii hata haiwezi ikashugulikia Two Rivers Mall pekee...[emoji23][emoji23][emoji23]
Lol hyo ni ya 0.7mw ama ??? Kama 234mw hapa Nakuru County olkaria ilichukua 1.08bn$ hii ni ya nn ss??
Sent using Jamii Forums mobile app
It is a 3MW power plant.Huoo umeme nikwaajili ya vijiji vya TUKUYU. Kenya mnaita mashinani. It is good start. Remember we are third in Africa with a geothermal capability of 5,000 mw once fully utilisedhuu msee anachekesha sana...eti 21 mil plant...lol!...hii hata haiwezi ikashugulikia Two Rivers Mall pekee...
you are third...what abt us? hehe...alafu hizi si habari za kuleta jukwani unajiabisha kaka...sisi tuna Olkaria plant ya Billions ila ni 210MW pekee yake..bado tunaidharau...ndio maana tunataka nuclear...kitu kama 1000MW....sasa hii 3MW yako inashangaza sana! inatia aibu kujigamba na mambo kama haya...soma tu comments hapo juu mpaka watz wenzako wameshangazwa ni lipi la kujisifia hapa..It is a 3MW power plant.Huoo umeme nikwaajili ya vijiji vya TUKUYU. Kenya mnaita mashinani. It is good start. Remember we are third in Africa with a geothermal capability of 5,000 mw once fully utilised
We mjinga kweli kweli ebu convert hiyo $21milion kuwa shilingi kisha tuambie kwa nini haitoshi usiwe mropokaji fikiri😀😀 boss wacha kujiaibisha...habari zingine ni za kuficha...a 21 mil plant haiwezi ata ikawasha stima soko la Kariakoo....
We do not know what is your thinking
wewe ndio mjinga...sisi tunaongelea billions of dollars...not billions of shillings...lol! una kasoro ndugu....have u ever seen a Kenyan plant worth millions of dollars? they are always in billions of dollars....hehe...eti shillings...wacha mchezo wewe...We mjinga kweli kweli ebu convert hiyo $21milion kuwa shilingi kisha tuambie kwa nini haitoshi usiwe mropokaji fikiri
2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
Usilete mambo ya ufisadi wa Kenya kwani wewe ndio unaye uza hizo plant? Nyie mnaambiwa bei mnaitikia tu😀😀 boss wacha kujiaibisha...habari zingine ni za kuficha...a 21 mil plant haiwezi ata ikawasha stima soko la Kariakoo....