$21.7 Million has been approved by AfDB for the Geothermal Project.

$21.7 Million has been approved by AfDB for the Geothermal Project.

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Tanzania yazidi kukuza sekta ya umeme. Magufuli hoyeee. Kwa sasa vijiji vingi nchini vinaumeme na hawamu ya pili REA inaenda kumaliza tatizo la umeme vijijini kuwa historian.
Screenshot_2017-07-23-17-46-54.png
 
😀😀 boss wacha kujiaibisha...habari zingine ni za kuficha...a 21 mil plant haiwezi ata ikawasha stima soko la Kariakoo....
 
$21 mill ni ya kununua cat generator au sijaelewa mjuwe. Harafu kweli mtu unasifia, duu wa Tanzania wengine wana safari ndefu sana kufika dunia ya leo. Serikali inakopa visenti kama hivyo, nina shaka na hiyo serikali jamani.
 
Mnakopa kwa ajiri ya maboss kusomesha watoto wao Ulaya kwa rushwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu msee anachekesha sana...eti 21 mil plant...lol!...hii hata haiwezi ikashugulikia Two Rivers Mall pekee...
It is a 3MW power plant.Huoo umeme nikwaajili ya vijiji vya TUKUYU. Kenya mnaita mashinani. It is good start. Remember we are third in Africa with a geothermal capability of 5,000 mw once fully utilised
 
you are third...what abt us? hehe...alafu hizi si habari za kuleta jukwani unajiabisha kaka...sisi tuna Olkaria plant ya Billions ila ni 210MW pekee yake..bado tunaidharau...ndio maana tunataka nuclear...kitu kama 1000MW....sasa hii 3MW yako inashangaza sana! inatia aibu kujigamba na mambo kama haya...soma tu comments hapo juu mpaka watz wenzako wameshangazwa ni lipi la kujisifia hapa..
 
😀😀 boss wacha kujiaibisha...habari zingine ni za kuficha...a 21 mil plant haiwezi ata ikawasha stima soko la Kariakoo....
We mjinga kweli kweli ebu convert hiyo $21milion kuwa shilingi kisha tuambie kwa nini haitoshi usiwe mropokaji fikiri

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
C"bartaizo, post: 22450473, member: 151576"]We mjinga kweli kweli ebu convert hiyo $21milion kuwa shilingi kisha tuambie kwa nini haitoshi usiwe mropokaji fikiri

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
[/QUOTE]
Converted to KES, approx 2.1Billion.
Drilling one well alone costs KES 1B.
Hapa twazungumzia megawati 50.
 
We mjinga kweli kweli ebu convert hiyo $21milion kuwa shilingi kisha tuambie kwa nini haitoshi usiwe mropokaji fikiri

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
wewe ndio mjinga...sisi tunaongelea billions of dollars...not billions of shillings...lol! una kasoro ndugu....have u ever seen a Kenyan plant worth millions of dollars? they are always in billions of dollars....hehe...eti shillings...wacha mchezo wewe...
 
Back
Top Bottom