fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
- Thread starter
-
- #21
nyakati znabadilika hata joh makini anavaa modo cku hzSasa hivi ni vituko tu
Braza men kavaa kijinzi kimebanaaa ukiwa kwa mbali unaweza kudhani mtoto kipotabo kumbe dume [emoji57]
Takeoff ndio mashine..!KWENYE kundi Lao offset anawakimbiza vibaya Sana
hahahaha offset anabahatisha tuu[emoji39][emoji23] [emoji24] [emoji23]21 savage anajua kinomaaaaaa ...kwanza anaflow kinyamwezi sanaa.
Offset anabaatisha tuuu
tatzo nyota ndo hana tuTakeoff ndio mnyama wa ukweli..!
bank account ni nomah ile track21 savage anajua sana aisee,,, sikiliza album lake la ISSA,,, achana na Hit singo km bank account kuna mawe mengine pia huko km Bad business,Thug Life, 7 min freestyle, money convo,,
Kuna ngoma zle za mwanzo km X, No Heart,,
21 savage anajua kutambaa na beat za Trap,, km hataki vle kumbe ndo anauwa
Amekaa kizembe zembe naetatzo nyota ndo hana tu
aaaah au Hana swagger za knyamweziAmekaa kizembe zembe nae
wanaigana??? mbna wana utofaut mkubwa sana21savage
Ila hawa kama wanaigana hivi
ndo nn maana yake mi sijui English dada ntafsirieNone