21 Savage na Offset nani mkali?

21 Savage na Offset nani mkali?

21 savage anajua sana aisee,,, sikiliza album lake la ISSA,,, achana na Hit singo km bank account kuna mawe mengine pia huko km Bad business,Thug Life, 7 min freestyle, money convo,,

Kuna ngoma zle za mwanzo km X, No Heart,,

21 savage anajua kutambaa na beat za Trap,, km hataki vle kumbe ndo anauwa
 
IMG_20180616_172328.jpg
 
bank account ni nomah ile track
 
Back
Top Bottom