21st to remember. Tarehe 21 ya kukumbukwa.. A count down!

Muda ukifika hata tone la maji linauwezo Wa kupasua mwamba haijalishi limedondokea hapo Kwa miaka mingapi
 
Me nawashangaa sana watu mnaoamin et sisiem wata surrender kwa maneno tu 🤣🤣🤣
Ukwel n kwamba you need an extra power to make ccm weak
 
Hakuna mtanzania mwenye muda ma hizo kampeni chafu. Mtakachofanya ni kuwapa boda boda mafuta, kuwavalisha tishet na buku tano tano, kusomba watu kwenye malori. Hakuna mtanzania atakayekuja kwenye hiyo mikitano kwa hiari yake
 
Na wewe uliamini kabisaa hilo?!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Poleni sana nyumbu wa lissu.
Chawa, trh 29 Morogoro, mmepanga kukusanya wanafunzi kwanzia F3, watumishi wa Umma wote wameambiwa wafunge ofisi kwenda kwenye mkutano wa Rais, wengine watasombwa na mabasi ya Abood. Mnalazimisha kukubalika, acheni watu waende mkutanoni kwa hiari yao, ndo tupime huko kukubalika kwenu. Vilaza tu nyie.
 
 
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho.. Tusiishi kwa mazoea eti kwakuwa juzi na jana ilikuwa hivi basi leo na kesho itakuwa vilevile.. There is always next time
 
Labda Mtanzania wewe!
 
Humu utaonekana mchambaji tu kama giggy money, weka ushahidi wa unachokisema. Bado sana kufikia viwango vya ccm nyie nyumbu wa lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…