23.10.2016: Toto Africa Vs Simba S.C

sembooi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]tumewakalisha!!
Mkuu ni mda sana umetutenga sana humu jukwaani.. Unafanya tunasherekea haya maushindi wenyewe tu.. Si vizuri bhana.. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu ni mda sana umetutenga sana humu jukwaani.. Unafanya tunasherekea haya maushindi wenyewe tu.. Si vizuri bhana.. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu Sembo kama nilivyotabiri leo lazima tushinde tena kwa goli nyingi ndivyo ilivyotokea.Pongezi zikufikie kwa kuendeleza pass nyingi kabisa hapa jukwaani.Leo furaha imerudi hasa baada ya hujuma ya jana.Mungu ibariki Simba TAIFA KUBWA.

Shukrani Mkuu.. Simba hii ni kanyaga twende mpaka mwisho wa msimu.
 
Hata hicho kiwili wili hatakua nacho....maana kwa speed hii ni mpaka klabu bingwa afrika.....
Namuonea huruma sana huyu brigedia wetu.. Sasa hivi ana mkono mmoja. Mechi ijayo sijui itaondoka na kiungo gani cha Brigedia.
 
Uzur wa simba bana hujui nani atayekuua mwendo wa ma suprise tu..wewe Muzamiri wewe
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] RAHA SAAAANA

BARCELONA KASHINDA 3

MNYAMA KASHINDA 3

ATLETICO MADRID KAPIGWA

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MAN FONGO KALA FOUR[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

BADO R.MADRID FURAHA IKAMILIKE[emoji13] [emoji13]
 
Nadhani Mkuu.. Furaha ilikamilika.
 
Jamani hiyo app inayotoa matokeo na hata msimamo wa ligi inaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…