23 Tanzanians arrested over alleged illegal fishing in Kenya’s Indian Ocean

23 Tanzanians arrested over alleged illegal fishing in Kenya’s Indian Ocean

Wangerudisha kuku na ngombe zetu..hawa lazima tuwachome
Ninyi ni watu wa maneno mengi bila actions, sisi tulipowauza ng'ombe wenu na kuchoma vifaranga hatukupiga makelele, tulitekeleza na mkasikia tu, tekelezeni kama mna huo uwezo,,mnavyoiogopa Tanzania,mlazima mtasikia wameachiwa bila hatua zozote.
 
wale ng'ombe pesa ilishapelekwa kujenga SGR, kama vipi na nyie auction hao samaki mfidie wale ng'ombe
Sorry!

Arrest all of them including all the beggars doting our cities and towns
 
Arrest all of them including all the beggars doting our cities and towns
Hamuwezi kuchukua tough actions against Tanzania, mnajaribu kujikomba ili wakenya waruhusiwe kuja Tanzania, that shall never happen[emoji12]
 
Ninyi ni watu wa maneno mengi bila actions, sisi tulipowauza ng'ombe wenu na kuchoma vifaranga hatukupiga makelele, tulitekeleza na mkasikia tu, tekelezeni kama mna huo uwezo,,mnavyoiogopa Tanzania,mlazima mtasikia wameachiwa bila hatua zozote.
Kiini macho tu icho wanachezewa na Nchi yao kuonyesha kama wanalipiza kisasi.. Hawana jeuri hio ya kuwashilia Wa Tz.. Unataka wafe Maskini? Hilo ni picha tu wanachezewa..
 
It's not me saying wachomwe its Kenyans on Facebook
53c83be25d9b186bae45dc49e57323ce.jpg
88fa3f2e2545fa53d6d2a7c99a700cb7.jpg
cdceadca5bb01655a3eec53b0078126c.jpg
 
The guy in the last comment has spoken the truth and Kenyans are way too igrorant to see that, Mmelikoroga Mtalinywa
Huyo ni mwanamgambo wa NRM, anaota bana bado haamini Raila si rais. Ngoja tu, kesho ataamka.
 
Back
Top Bottom