23rd nov P-Squire, Vinega, Anaconda, na prof Jay kuzika utawala wa Show za Cloudsfm

23rd nov P-Squire, Vinega, Anaconda, na prof Jay kuzika utawala wa Show za Cloudsfm

hii itakuwa bab kubwa hawa P square wanashambulia jukwaa usipime nakumbuka show yao mwaka nimeusahau pale leaders ulikua unaitwa DO ME CONCERT.

nakumbuka enzi zile....na hii naisubiria kwa hamu kubwa tu
 
Roy ni nani?

Mmenikumbusha Machungu.

Roy wa G-Records.

RIP.
 
Back
Top Bottom